Kama SSH hajagundua kitu, basi hawezi kamwe kuelewa hadi 2025.. kuna tatizo, lipo, linafichwa. Lakini, kubaini tatizo ni moja, kenda ni kuweza ku' deal na hiyo situation. Sidhani hata kama ana huo uwezo. Mtu ambaye anasema kwamba akishateua anaangalia emotions za watu mitandaoni?