@imdior01 Nililima nyanya nikapata faida hela yote nikapeleka kwenye kilimo nikajikuta natembeza nyumba kwa nyumba kuomba watu wanunue, mpaka leo nikila chakula chenye nyanya natapika🙌
Dogo alimaliza hapa mwaka jana, amerudi nyumbani anajua kupika na kushona akaomba anunuliwe cherehani maana anajua kushona aliletewa cherehani na anashona kweli kweli akatuambia shuleni kwao yeye alichagua sewing club imagine class seven anashona, this school🙌
Nililima kabichi 1 Mil gharama kwenda Sokoni zimejaa kama takataka bahati nzuri nikapata mnunuaji wa jumla shamba Zima nikamwambia nipe 2.5 Mil akanajibu unanipa na shamba au? Mpaka Leo sijapona 😂😂
@CarolNdosi This is me, I don't know if it is depression or ni normal life, Kuna mda naweka kindege hata txt zisiingie tu ni mimi na ndani ndani na mimi hata kelele ya redio sitaki kusikia, hata chakula kuna mda sioni haja ya kula
@funjojr Mwamba mmoja aliachia kimba mlangoni mwa ofisi ya discipline, boys wote tukaitwa kuliaga kama maiti then tukapangishwa mstari mmoja mrefu hadi chooni wa kwanza akachukua unampa mwenzako kwa mkono hadi wa mwisho anaweka chooni baada ya hapo tukaambiwa direct darasani hakuna kunawa