Free Kiduku aka Ofsa Ngiri.
Kiduku ni kijana mjasiriamali ambaye pia huwa anatoa maoni kuhusu utawala mbovu wa nchi yetu.
Polisi DSM mnapaswa kumuachia Kiduku bila masharti.
Serikali ya ccm haitazuia maoni tofauti kwa kukamata wakosoaji.
#FreeKiduku@TanzaniaOneJezi
#TajiriLaKihaya
Tanzania nchi Ya amani na Upendo…
Tumefikaje fikaje hapa??
Mbona polisi wamekuwa wakatili kiasi hiki? Hawaoni wanapanda mbegu mbaya saana ya chuki dhidi Yao vifuani mwa Raia?
Leo #MariaSpaces tunajadili: Dhulma isiyoisha - Tatizo Polisi, Mahakama au sisi wananchi?
Muda wa kujipima umefika! Tunaona bila woga asubuhi hadharani polisi wakipiga na kukamata wapambanaji mbele ya Mahakama Kuu
Tunasubiri huruma au ukombozi kutoka wapi ?
Leo saa 2 uck
Samia hana sababu ya kutuma mapolisi wajazane mahakamani ili sisi tukose pa kukaa. Lissu ni kiongozi wetu. Kwanini hamtaki tuwe mahakamani kufuatilia kesi yake? Mnaogopa nini? Kwanini muumize watu sababu wana fuatilia kesi? Are you okay? Mnaudhi sana!
Muachieni Deo na wenzake!
#TajiriLaKihaya
Wajua Binti wangu Toka Class one hadi anamaliza Class seven mwaka Huu… miaka yote Saba Yupo Boarding!
Miaka saba yote siku ambazo amekua nyumbani hazifiki mia tatu💔
Na ndio maana Usiku wa jana nliamua Kumfanyia graduation party🥰
Baada ya jeshi la polisi kumsaka polepole kimya kimya kwa muda mrefu na kushindikana, sasa wameamua kumuita akatoe ushahidi wa anayoongea.🫵🏾😂
Mtu wa CUBA akili nyingi✅
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Polisi zaidi ya KUMI wanamshambulia mwananchi mmoja.
Siku inakuja haya yote tutalipiza mara 10 zaidi. Hayawezi kuturudisha nyuma hata kidogo.
TUTAKUWEPO🫵😎
Je, huyu ndiye yule ambaye tulimpa endorsement wakati wa uchaguzi wa TLS? Je, huyu ndiye yule alikuwa anafoka sana wakati wa sakata la DP WORLD? Je, ndiye huyu alisema watawala wasituchagulie lugha za kuwakosoa? Ni kitu gani kimetokea? Au pekee yangu ndiyo nimechanganyikiwa?