@Tanganyikan Ipo shortcut lutoka Tanga - Korogwe- Handeni- Kondoa - Singida - Nzega- Shinyanga- Mwanza na ni fupi zaidi almost 1000km tofauti na 1700km kutoka Mtwara kwenda Mwanza
@KennedyMmari@MaxTz255_ Mimi nilijua kadi anayo ndani na hela Zinatoka kumbe kadi kapoteza hapo kuna mtu wa karibu anatoa hela kwa wakala na kadi yake kwenye kuchagua namba ya kupokea Message haweki au anaweka ya uongo 😂😂😂
@babulakulamba@cindaramadhan@spana_Konki Sasa ulikuwa unabisha nini? 😂😂😂😂 picha niliyo post alieibiwa ndio kapost Facebook baada ya kupata na kasema ata andaa trip kuifuata auiuze agawe hela kwa wenye uhitaji hayo mambo ya sport sio vogue umejitungia tu kuonyesha ujuaji kisa umeona pic ya AI ya sport