2/1/2024.
Ni mwaka wa uchaguzi serikali za mtaa.
Ni mwaka wa kufanya vizuri zaidi ya mwaka mwingine.
Ni mwaka wa kupaza sauti za wasiosikika.
Ni mwaka mwingine wa kujiendeleza kitaaluma.
Ni mwaka mwingine wa kuongeza marafiki na hela.
MUNGU NISAIDIE๐๐ผ
HAPPY NEW YEAR TO YOU'LL ๐
Lakini mh. Fundraising haiko Kwa watawala kama ilivyo itafsiri wewe of which kwangu sio tafsiri rasimi.
Mara nyingi haya humu ndani kumekuwa na fundraising Eg.#Naywamitego.
Hata CDM #Jointhechain
Ilikuja,Bado unamsimamo wako wa wanuifaika kuwa watawala?
It's unfair kwa mstaafu.
Sasa maono yanaona,Tajiri namba 1 anatoa kwa kuombwa kwa heshima ya Rais.Pia namba 2 mpaka 15. Kati ya hawa hakuna atakayeambiwa mwingine kaombwa , kwa hiyo deal unaweza kuta anayestaafu anakuwa faida kwa wasiostaafu. Kwa hiyo Matajiri 15 ni Milioni 300 , sasa toa Milioni 20 mpe Baba Askofu. Kwa vile ni ndoto mnaweza kuipuuza. Kuna pesa chafu sana huwa inapatikana ktk masuala ya fundraising. Ni biashara isiyo na kodi kwa wenye mamlaka.
@amprincess9 Umejipata Binti yangu,naona Kila siku ya tizi na raba yake!
Hakika Kila mwanamke mwenzio anatamani kuwa kama wewe,good thing una hustle pia๐ช