JIFUNZE KUHESHIMU HATA VILE VITU AMBAVYO HAVIFANYI KAZI KWAKO NA HUVIAMINI.
Last Week nilikua kwenye Usafiri Coaster naenda kumchek babu.
Sa ndani ule usafiri kulikua kumechangamka sana story zilikua nyingi watu full kucheka tu na mpigisha story zote aliku konda wa ile costa.
“Hey Admin @ManUtd, what time is it over there in Manchester? I just woke up and our boy @AmadDiallo19 already scored, yet you still haven’t posted it!”
@PopCrave Amad Diallo in that National Team He always turns into prime Cristiano..
Do you remember in Afcon this Year what he was doing? Just GREATNESS🔥
Sema wanetu mnatoboa vipi bila kuwa na Imani na Mungu au kuwa Close na Mungu🥹🙌🏾coz me kuna chenga shetani anatakaga kunipiga KO but God ananipa mwanga kosa hivyo aisee ningeisha vibaya ningepoteza vibaya🥹🙌🏾