TAKUKURU Mkoa wa Kagera inawashikilia wanafunzi 59, walimu 4 na Wakuu wa vyuo vya VETA Kagera na Tuinuane VTC kwa wizi wa mitihani wa taifa wa elimu ya ufundi ulioanza Desemba 7 mwaka huu.
Wanafunzi hao walikuwa wakipokea majibu kupitia group la WhatsaAp na SMS.
La @Burundi1stLady rehausse de sa présence les cérémonies de remise des certificats de fin des études secondaires aux lauréats du Lycée du Lac #Tanganyika qui débutent par une messe d'action de grâce
Jamani tuheshimiane Kidogo Ukishindwa Kuniita Bwana Harusi Mtarajiwa niite hata Shemeji 🤔 Hivi kweli Hamuogopi Mume wa Mtu Mtarajiwa unamuita Mpwa au Baharia 😂😂😂 Eti Ooh ! mpwa unasaliti Chama hizi kauli za Kihuni Chama kwanza Ndo nini CUF au Chama Wa Simba ??? 😂
Sports Bar ya Clouds TV kesho inapindua meza LIVE kuanzia 7-10am (saa moja asubuhi hadi nne asubuhi) na wachambuzi wako mahiri wa michezo nchini #Hutojutia