โบ๏ธ Ndugu wapendwa tuna wataarifu kuwa safari za Dar es Salaam-Makete na Makete-Dar es Salaam zipo Jumapili hadi Ijumaa.
โบ๏ธ Siku za JUMAMOSI hatutakuwa na safari, ni siku ya SABATO. safari zitarejea kama kawaida siku ya Jumapili.
โบ๏ธ Maoni/Ushauri 0744 428 470
#JacobHighClass
@JACOBHIGHCLASS@BusWorldTZ@wasafirtanzania@BusesFans@TBoundBuses@BusesDaily Ni kile ambacho kinaendana na afya yako plus mazingira yako khasa ktk safari. Naamini kila mmoja ana chakula ambacho kinaendana na tumbo lake. Ndo maana utaona kuna watu wanakula vyakula ambavyo kwa wakti huo mtu mwingne kwake ni mtihani safari nzima full kuhangaika tu.๐
Nimesikitishwa na vifo vya watu 22 vilivyosababishwa na ajali ya basi kugongana na lori katika eneo la Melea Kibaoni, Morogoro. Nawapa pole wafiwa, nawaombea Marehemu wapumzike mahali pema na majeruhi wapone haraka. Nawasihi watumiaji wa barabara kuzingatia sheria za barabarani.