Wana Simba wenzangu Tuwe wavumilivu kidogo Naona kila Mtu Anamlaumu Kocha kuhusiana Na Moses phiri Sisi wote hatujui nini phiri anakipitia saizi ndani ya Simba
Simba ya Msimu Ujao itakuwa balaa Kweli Viongozi wamepania Kufanya kitu
Nb; Mashabiki wa Simba Tuwe jirani na mashekhe na wachungaji maana Tutatupiwa Sana Majini Msimu Huu ๐