@ZacEnya Wakenya muwe na adabu,tumewabeba angalau mna host hii https://t.co/3zSQ6N1REV tuna uwezo wa ku host haya mashindano peke yetu bila kutegemea yeyote hapa EA, hiyo Dodoma mnayosema ina uwanja unajengwa ambao unaweza kubeba hayo mashindano.sisi sio wa AFCON pekee tupo mbele mno...
@George_Ambangil Tuweke kura pembeni Joji, hakuna mchezaj amewahi perform individual na kwa timu akashinda medali na tuzo ndani ya mwaka mmoja (2008) kama jamaa, he was so damn good,alikosa FA tu mengine yote na tuzo zotee
@George_Ambangil Man United!sisi tunachofanya ni rinse and repeat, nimeshakata tamaa na hii timu,itatuchukua muda sana kua sawa, pattern ni ile ile inajirudia..tuna timu ambay inategemea zaidi individual waamue matokeo na siku wakiwa chini kwenye form timu inacheza kama hatujui tunataka nini..π
@MarekaMalili Nimetoka kuongea na mtu wa dukani anitumie lipa namba yake nilipe pesa yake ya bidhaa nilizochukua, kabla hata msg yake haijaingia namba ngeni imetuma lipa namba kwa msg imebidi nimpigie kuuliza kama hyo n namba yake amekataa, najiuliza wamejuaje kama nimeomba lipa nambaπππ½ππ½
@MarekaMalili Mara nyingi inakua hivyo na sio kwako tu, mpaka kuna wakati hua nahisi watu wa mitandao tunayotumia wanahusika, taarifa nyingi za watu hazipo salama kabisa.