Bado hujatoka kwenye ile tano bora, ila kwa sasa ukimuondoa Magufuli ambaye anaishi moyoni kabisa unafuata wewe kaka @HecheJohn, unajua kwanini? Unaamini unachokiamini na toka nakusikia masikioni hujawahi kubadirika au kuwa kimya, huu ni utumishi wa Mungu๐
Jambo ambalo haliguswi kwenye unyeti wa mafuta ngoja niguse bega, katika jambo la mafuta, kupunguza misafara ni hatua ya awali sababu matumizi siyo ya kila siku, jambo pekee gumu na jawabu ni Serikali kuacha kutoa mafuta kwa watumishi WAJIGHARAMIE, zile pesa ziwe ruzuku.
Tunapolinganisha bei za mafuta na mataifa mengine turudi kwenye tabaka letu na uchumi wetu vinginevyo tunafarijiana kwa viwango vya wenzetu bila kupima uwezo wa kuhimili na hali zao.
Nb;Tunatokaje kama Taifa ndio kipaumbele, habari za mataifa mengine wana njia zao, zetu ni zipi?