Kutwaa Ubingwa wa CECAFA nje ya Tanzania🇹🇿 haifanywi na kila timu.
Karibuni JKT Queens kwa mafunzo zaidi ili kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizo za huko Rwanda 😅
#WajengaNchi#KichapoChaKizalendo
Khadija (Golikipa), aliungana na timu ya JKT Tanzania FC, akifanya mazoezi chini ya kocha wa magolikipa, Fatuma Jawadu, ambaye amemtengeneza na kuwa golikipa Mahiri kiasi cha kuwa bora na kuitwa kulitumikia Taifa kupitia timu hiyo ya vijana ya wanawake.
#KichapoChaKizalendo
Uongozi wa timu ya JKT Tanzania/Queens, unatoa pongezi za dhati kwa mchezaji huru wa kike, Khadija Bakari, kwa kuteuliwa kujiunga na timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17).
Mchezo mwingine mkubwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo🏟️ tunapokutana na mabingwa wa ligi wa mwaka 1988.
Hautakuwa mchezo rahisi hivyo mashabiki wetu tunaomba mje kwa wingi kutuunga mkono🙏
#WajengaNchi#KichapoChaKizalendo
JKT TANZANIA TUKIENDELEZA KUTAWALA SOKA LA TANZANIA 2025 KUELEKEA 2026🇹🇿
Mambo kama haya Wanazuoni mnaanza kuyajadili saa ngapi😅
#WajengaNchi#KichapoChaKizalendo
JKT Queens tulifika uwanjani 🏟️ kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Bunda Queens lakini wapinzani hawakufika
Baada ya tararibu zote za mchezo kufuatwa mwamuzi alimaliza mchezo.
#WajengaNchi#KichapoChaKizalendo
MATCH DAY
🏆 Women's Premier League
⚽ JKT Queens 🆚 Bunda Queens
📅 08-22-2025
🏟️ Major General Isamuhyo
⏰ Saa 10:00 jioni
#WajengaNchi#KichapoChaKizalendo