Historia mpya imeandikwa na rekodi ya zamani imevunjwa. Wanaanga wa chombo cha Artemis II cha USA, wamevunja rekodi ya umbali mkubwa zaidi ambao binadamu wamewahi kusafiri kutoka duniani, baada ya kuuzunguka Mwezi. Hakuna binadamu ambaye amewahi kwenda mbali na dunia zaidi yao.
🚨✊🏿 Vinicius: “I hope Lamine can continue this fight against racism as well. We have money, but poor black people have more difficulties than we do”.
“I’m not saying that Spain, Germany, or Portugal are racist countries, but there are racists in every country, and if we fight together, hopefully other players and people will stop suffering these things”.
Sema moja ya tukio la kusisimua basi ni hili la Marekani kwenda kuwatafuta Pilots wake wawili waliopata ajali kule Iran, kuwa na Mtu ambaye hatokuacha wakati wa shida ni Baraka sana aisee.
Niliwaza, nikapanga, sasa ni muda wa kutekeleza huu mradi.
Tutaifanya kwa imani hii, Eti hatuwezi pata won tickets 15 ndani ya mwezi kweli?
500k ivune 7,500,000 inawezekana?🤔
Kuna dada Content creator wa misosi huko KENYA—kanunua NG’OMBE mzima kisha kumchinja na kupika paja moja kwaajili ya content ya kuipikia familia yake.
Hii content kwa hesabu za kawaida imemgharimu sio chini ya 1.5M TSH ila itaenda kumpa mamilioni mengi sana.
Kanuni ni ile ile “TOA PESA UPATE PESA”—ubunifu kila mtu mbunifu.
🤹🏼♂️ Antoine Semenyo: “Cherki’s one of the world’s best. He can literally do anything with the ball, he makes my life easy!”.
“I remember my first day in training, some of the skills he was pulling up… I thought, What kind of player is he?’ He’s a top player”.
Usafiri wa boda boda(Pikipiki) haukupaswa kuwa usafiri wa umma. Boda boda imegeuka njia ya kupeleka vijana na watu wengi kwenye vifo, ulemavu na umasikini. Ukosefu wa sera za uchumi, usalama barabarani, na ujinga wa kisiasa ni msingi mkuu wa janga hili. Kutega kura kwa gharama ya damu ni dhambi na ujinga wa kiwango cha juu. Kukaa kimya ni kushiriki kwenye mauaji na mateso haya. Vijana hawa siku moja, watashituka kuwa hawakuongozwa vyema na hali itakuwa mbaya sana kwenu.
Trump huyu mwamba ni smart 🧠 sana aliwahi kuwa tajiri no 1 duniani akafirisika madeni yakamuandama bank wakaja kumfata awalipe akawambia ili niwalipe mnikopeshe tena mi sina hela za kuwapa ameandika kitabu chake kinaitwa Art of comeback kaeleza namna alivyorudi kuwa don tena
Huyu dogo Nico Oreilly kama angebeba EPL na City msimu huu basi ningemuweka juu ya “PRIME” FODEN.
Dogo anaisaidia sana CITY hasa mwaka huu tangu umeanza.
Leo kasababisha penati✅
Katoa Assist✅