Wananchi wametakiwa kutenga muda wa kupumzika ili kujiepusha na magonjwa licha ya pilika za maisha ya kila siku.
Akizungumza kwenye mahojiano maalum, Rais wa chama cha Madaktari nchini Tanzania Dkt Deus Ndlahna amesema kuwa kupumzika imekua ni changamoto kwa wengi wakisema kuwa wanatafuta maisha.
#EastAfricaTv #EATVSAA1 #UtajiriWaHabari
PENINA AKATWA MAPANGA NA MPENZI WAKE HADI KUFA
Baada ya tukio la mauaji ya Penina Method kuuawa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina moja la Joseph, Ndugu wa marehemu Penina wameomba serikali imchukulie hatua kali kijana Joseph ili ndugu yao apate haki yake.
#EATVSAA1 kila Jumatatu - Ijumaa
Saa 1:00-2:00 Usiku
#UtajiriWaHabari
#HainaKuchoka
Mwalimu anayetuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha atimuliwa kazi badala ya kuhamishwa kituo kinginecha kazi kama ambavyo wengi walitarajia kuwa angehamishiwa shule nyingine.
"Hakuna kumwamisha shule nyingine...mfanyieni safari atafutiwe mkoa mwingine wa kwenda kufanya kazi huko, haraka sana iwezekanavyo apishe kwanza watu wangu na vyombo wanipe taarifa kama kuna hatua zingine " amesema Queen Sendiga, RC Manyara.
#EATVSAA1 kila Jumatatu - Ijumaa
Saa 1:00-2:00 Usiku
#UtajiriWaHabari
#HainaKuchoka
Ukosefu wa huduma ya maji umetajwa kama sababu ya ukosefu wa uaminifu katika ndoa nyingi za wanawake wa kijiji cha Masangu kilichopo halmashauri ya wilaya ya Songea huko Ruvuma kama ambavyo EATV SAA1 imeliangazia suala hilo.
#EATVSAA1 kila Jumatatu - Ijumaa
Saa 1:00-2:00 Usiku
#UtajiriWaHabari
#HainaKuchoka
#VIDEO Hamad amesema kwamba ameamua kuboresha huduma yake ya usafirishaji abiria kwa kutumia bodaboda kwa kuwa na lipa namba ili kuepusha usumbufu kwa wateja wake.
#SupaBreakfast#EastAfricaRadio
#VIDEO Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wamezungumza namna ambavyo walimfahamu Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, aliyefariki dunia Jumamosi Februari 10, 2024.
#RIPLowassa#SupaBreakfast#EastAfricaRadio
#VIDEO Baadhi ya wananchi jijini Dar es Salaam, wameeleza ni kwa namna gani Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, aliyefariki dunia juzi alivyoleta mapinduzi ya fikra baada ya yeye kuhamia upinzani na kugombea kiti cha urais mwaka 2015
#RIPLowassa#SupaBreakfast#EastAfricaRadio
"Zanzibar ni wet u lakini sukari kule haiadimiki na wala haipandi bei, hivi viwanda saba tulivyonavyo nchini vinafanya kazi ama?, kwa kweli serikali ituangalie," - Mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam
#SupaBreakfast#EastAfricaRadio
#VIDEO Bi Saumu Masari kutoka vingunguti anasema yeye bonafsi haoni sawa mumewe akiona akijifungua kwa kuwa huo anaona ni udhalilishaji #SupaBreakfast#EastAfricaRadio
#VIDEO Mdau kutoka Vingunguti anasema duniani hapa kuna vitu vitatu ambavyo huwezi kuhama ambavyo ni CCM. Yanga na Msondo ngoma
Tuambie wewe vitu gani hapa duniani ambavyo wewe ni mshabiki na huwezi kuhama. #EastAfricaRadio#SupaBreakfast