@MkulimaKante Maji ya Moto yanaheat Pumbu, kitu ambacho hakitaki Joto, Maji ya baridi ni better than ya moto, Kwanini Wachezaji wanaingizwaga kwenye mapipa yenye Maji ya baridi tena barafu? Maji ya moto ni kwaajili ya Kunywa, ndo afya ya Mwili lakini nikosa kunywa ya Baridi.
@CraveryKay59551@MkulimaKante Kwa Afrika Historia lilitakiwa liwe somo Namba moja kuliko yote, Historia ni mwalimu mzuri sana,
Kama Afrika tukajua Historia yetu halisi"SIYO HII TAKATAKA WALIOTUTUNGUA WAKOLONI( His story). Tutakuwa mbali kwakujua ukuu wetu natulipokosea na tushike njia ipi!
@RKimbawala@pastajoshuatz Hiii misemo ya Dunia ya Tatu mnaikubali vipi ? Kisa watu wa mangharibi wamesema hivyo nanyie mnarukanayo, mnakubali vipi kudhalilishwa hivyo? Mungu aliumba Dunia moja, Dunia ya Tatu vipi? Kama Dunia ya kwanza ni Afrika.
@francismtey@Vitabu247 Vipi kuhusu dhahabu aliyotupa kule Geita? Zinasombwa daily na Wahuni waliotuambia hivyo! Wewe hapa Duniani unaweza kuishi kwa Asali na Maziwa? Nyuki na cows mbona tunao hapa Tanzania!!