Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya Chama Wilaya ya Bunda, Leo tarehe 30 Mei, 2021akipowasili Mkoa wa Mara kwa ajili ya kikao cha Baraza la Mashauriano la Mkoa.
#TumeHuruyaUchaguzi#HakizaWatu#KatibaMpya
Nchi yetu inahitaji Maombi ya Kufunga Novena, Tumepitia kipindi kigumu sana kama Nchi embu Msikilize hapa Spika Jobu Ndugai anachosema, hivi Huyu jamaa atuonaje Sisi watanzania ?
@ccm_tanzania mnatoaga wapi hawa wabunge wenu ? Yani Huyu hajajua kuwa @bunge_tz ndio Chombo huru cha kuisimamia Serikali? anataka kianzishwe chombo kingine huru Cha kuisimamia Serikali 🤣🤣Dah haya bana.
Mbunge Viti Maalum (CCM), Mwanaisha Ulenge, ameshauri iundwe taasisi huru itakayodhibiti utendaji wa Serikali. “ili tuweze kuidhibiti na kuisimamia Serikali, hatuoni haja ya kuwa na taasisi inayojitegemea ya kuisimamia, kufanya tahimini na kutunga mifumo ya ufuatiliaji nchini?”
Tumesema hatutakwenda kwenye uchaguzi wowote na tume hii ya uchaguzi, tutafundisha makada wetu kuanzia ngazi ya chini, juu ya ulazima na umuhimu wa katiba. Ili tunaposema tunahitaji katiba, wanachama wetu na viongozi wetu waelewe umuhimu wake-Freeman Mbowe, M/Kiti Chadema.
Rais wa nchi anakiri hadharani kwamba, Takukuru wamefuta kesi 147 za kuwasingizia watu, Watanzania wameteswa, wako ndani, wamebambikiziwa kesi. Lakini je hao waliohusika kuwabambikia kesi wako ofisini, hao wanastahili kuwepo katika magereza-Freeman Mbowe, M/Kiti Chadema.
Endelea kuchangia chochote ili tuweze kukamilisha ujenzi wa ofisi ya chadema Jimbo la makambako.
Tuma mchango wako 👇
0756_592957.
Jina :Chadema _makambako
"Tumepitia maumivu mengi lakini nawaambia wanachadema wenzangu tusipende visasi katika roho zetu, siku zote nawaambia visasi ni kazi ya Mungu." Mhe. Freeman Mbowe
#TumeHuruyaUchaguzi#HakizaWatu#KatibaMpya
Imagine sitting in this place during the day (in between Russia and Canada in the Arctic). The moon appears in this big size for 30 seconds and after blocking the Sun for 5 seconds diappears. The marvel of God’s creation.