Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Mkutano wa 48 wa Magavana wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) unaofanyika tarehe 12-13 Februari 2025, mjini Roma, nchini Italia.
IFAD,FAO,UNCDF and the Ministry of Agriculture, launched a programme on agri transformation using technologydriven solutions to address challenges in productivity, access to finance, inputs, markets, and impacts of climate change.
@IFAD@HusseinBashe@WizaraKilimo#agenda10/30
MOA, UN PARTNER TO LAUNCH PROGRAMME ON DATA FOR DIGITAL AGRICULTURAL TRANSFORMATION
Permanent Secretary of the Ministry of Agriculture, Mr. Gerald Mweli on 25 October 2024, launched a Joint Programme on Data for Digital
Akizungumza kuhusu mradi huo, Bi. @JMotcho alisema Kupitia Programu ya kuendeleza Kilimo na Uvuvi, @IFAD imepokea ufadhili-ruzuku (grant) kwa mradi wa ARNSA kutoka Ubalozi wa Norway, unaolenga kupunguza umaskini na kuboresha lishe kupitia...
Together with Minister of State at the PMOโs - Hon. Jenista Mhagama, launching a grant for aquaculture farmers in Ruvuma and Lindi. The grant will increase incomes, improved nutrition outcomes, market innovation and value creation.
@TZWaziriMkuu@IFADEastAfrica@UvuviNa
@IFAD team meeting with the Permanent Secretary of the Blue Economy in Zanzibar to discuss progress on seaweed and deep sea fishing, with a view to increase household incomes and improve the livelihoods of fishing communities @aboudjumbe@IFADEastAfrica@TZWaziriMkuu
๐Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Dkt. Aboud Suleimani Jumbe akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Maendeleo ya Kilimo Duniani (IFAD) pamoja na timu ya Uratibu wa Programu ya AFDP Ofisini kwake baada ya Kumaliza utembeleaji wa Miradi ya Maendeleo inayofadhiliwa na shirika hilo kwa Visiwa vya Pemba na Unguja.
๐ธ:O/Waziri Mkuu
๐Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Dkt. Aboud Suleimani Jumbe akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Maendeleo ya Kilimo Duniani (IFAD) pamoja na timu ya Uratibu wa Programu ya AFDP Ofisini kwake baada ya Kumaliza utembeleaji wa Miradi ya Maendeleo inayofadhiliwa na shirika hilo kwa Visiwa vya Pemba na Unguja.
๐ธ:O/Waziri Mkuu
Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Dkt. Aboud Suleimani Jumbe akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Maendeleo ya Kilimo Duniani (IFAD) pamoja na timu ya Uratibu wa Programu ya AFDP Ofisini kwake baada ya Kumaliza utembeleaji wa Miradi ya Maendeleo
We were extremely excited and fortunate to meet with the two Ministries if Agriculture and Blue Economy in Zanzibar. Agriculture Working Group (TZ) continues to support the Government in implementing Agriculture sector priorities #blueconomy#agriculture
Congratulations to IITA @CGIARclimate@IITA_CGIAR for continuously making waves on advancing new technologies for cassava. ๐๐พ๐๐พ๐๐พ
https://t.co/mInO7tyNMO
Thanks to SSTC & IFAD for making this possible @IFADEastAfrica#Agenda2030
@Xerxes_III@AtheisticPropa1 @Views09 @mitchollo Itโs the mom who saw her coming. Mothers have the ability to see miles and miles away. They are able to penetrate your soul esp for those directly involved with her children. They can smell the fakeness, the hypocrisy, etc
Waziri wa Kilimo Mhe. @HusseinBashe amekutana na wadau wa maendeleo wanaoshughulika na sekta ya kilimo,kujadiliana katika kukuza sekta ya kilimo,usalama wa chakula,mabadiliko ya tabia nchi na uwezeshwaji wa vijana na wanawake. @JMotcho@FAOTanzania@IFADEastAfrica@WFP_Tanzania