‼️MAMBO KWA USHAHIDI‼️
Juzi @godbless_lema alisema Mhe. @HecheJohn alirudishiwa passport yake na Mkurungenzi wa Usalama wa Taifa.
Sasa huu ndo ushahidi wa namna ambavyo Heche alipata passport yake barua ya Kwanza ni ambayo Mwanasheria Mkuu wa Chama Dr Rugemeleza Nshala aliwaandikia Uhamiaji, barua ya pili ni majibu ya Uhamiaji.
Swali la kujiulizani ni kwanini Lema aliamua kumsingizia Kiongozi mwenzake jambo la uongo kubwa kiasi hiki halafu aliliweka public ili kila mtu asome lengo lake lilikuwa nini????
JK ni mzima wa afya, nimedhibitisha by 100%. Haumwi wala hajalazwa.
Yuko busy na kazi yake kuendelea kuleta machafuko Tanzania.
Ndugu zangu, wazee mashetani kama kina JK na Wasira hawafagi kirahisi hivyo. Evil people wanakufaga last, hata kwenye movie.
Na ukweli ni kwamba Tanzania haitokaaa ipate amani wala utulivu mpaka siku Mungu atakapo mchukua JK. Huyu ndio catalyst wa machafuko yanayokuja Tanzania na pia ndio mastermind wa mauaji ya October 29.
Subirini ataibuka hivi karibuni kuja kuongea shit kwa niaba ya kimama……
Huyu Mzee yuko tayari kuimaliza Tanganyika ili familia yake iendelee kunyonya nchi. Hawatosheki.
Watanzania, msione nimepoa mkadhani nimeacha mapambano. Hapana, kuna kitu kinahitaji my complete 100% focus kwa sasa.
Ila soon nitarudi na nguvu mpyaaaaaaaaa na mapambano mapyaaaaaa….
Haki lazma ipatikane Tanzania…….
🚨‼️JESHINI TUSHAANZA KUELEWANA‼️
Naona lugha zinaanza kufanana na zetu huko jeshini! Wanajeshi wanachangishwa vitu vya ajabu hamtaamini eti pesa hakuna au haitoshi 😁 kuna siku wataishiwa toilet paper kambini. Ohoo!
Mi nimesikitika nikikumbuka juhudi kubwa iliyofanywa kuijenga Jeshi miaka ya nyuma na vile waliheshimiwa - leo hawana tofauti na walinzi wa nyumbani!
Mi nawaambia kama nilivyomwambia Nchimbi huu si muda wa maneno tena bali action! Huyu kimama na genge lake mmekaa mnawaangalia na kulalamika sasa sisi raia mnataka tufanyeje?
Eniwei kama ninavyosema kwa miaka kadhaa 👉🏽 #TutaelewanaTu
😁😁 Bi Msumi amemgwaya Yuda!
Naona mipango imebuma ya kumwondoa kama walivyopanga
Ila vita haijaisha - tuendelee kuleta kuni na kuchochea moto vizuri hadi #TutaelewanaTu
‼️GARI LA KANDA MAALUM DAR ES SALAAM‼️
Sasa watoa taarifa wazalendo ndani ya mfumo wameamua! Kumbe kwa mfumo wa kawaida hizi plate number zinaonyesha magari tofauti kama Caterpillar LAKINI katika mfumo wao wa ndani (tumehifadhi taarifa na picha kamili) wanaonyesha hii plate number feki inatumika na gari ipi (Hardtop) na polisi wa mkoa gani ambapo hii T318EQJ inatumika na Kanda Maalum Dar es Salaam! Huko ni kwa Mafwele!
Tunashukuru wazalendo na endeleeni kutuma taarifa zaidi! Haiwezekani tukaishi kwa hofu nchi nzima kwa sababu ya kulinda urais wa mtu mmoja!
Na kwa kuwa @tanpol wanakataa kulinda usalama na uhai wetu akiwemo @HecheJohn sisi tutaendesha opereshemi yetu ya kufukunyua na kuwaanika watekaji!
Nasema #TutaelewanaTu
Ahsante sana ulienitumia hii posti.
Jamani posti nazotafuta ni posti kama hii
Naomba muendelee kunitumia. Post zozote za kudai haki au kutetea haki nilizowahi kuposti Naomba muendelee kunitumia….
WhatsApp: +1 424 537-3057
Hi Watanzania, kwa sasa niko busy mnooo na jambo la msingi, very soon mtajua nilikuwa busy na kitu gani.
So kwa sasa I’m not focused kwa kudai haki huku kwenye social media, nipo busy napambana kiundani zaidi..:.:
Soon wote mtajua what was keeping me busy. And it will be great news to Tanzanians, GOD WILLING.
Wanaharakati, please tuelimishe wananchi jinsi ya kufanya maandamano ya kutokea ghafla bin vuup huku tukiendelea kujipanga na maandamano ya amani ya AFCON.
Tuwafundishe wananchi jinsi ya kutumia mikusanyiko kama ya mpira au chochote kile kuanzisha maandamano ya amani hapo hapo. Na kwamba wananchi wakiona tu maandamano yameanza eneo flani na wao waandamane hapo hapo kwenye maeneo yao.
Yani tuwafundishe ujanja wa kulipuka na maandamano ili tusiwape nafasi serikali haram ya kufanya chochote kuzuia maandamano.
Let’s talk about this as much as we can………Yani lazma tuweke hii idea kwenye kichwa cha kila Mtanzania.
MAANDAMANO YA AFCON YAPEWE NGUVU KUBWA!!! MACHO YA AFRICA NZIMA YATAKUWA TANZANIA, LAZMA TUITUMIE NAFASI HII KUKOMBOA NCHI YETU KUTOKA KWA FAMILIA HIZI CHACHE ZILIZOJIMILIKISHA NCHI YETU, FAMILIA YA KIKWETE , FAMILIA YA KIMAMA na MBWA ZINGINE.
APPRECIATION POST YA WANAHARAKATI WANAOPAMBANA INSTAGRAM NA TIKTOK!!!!
NCHI YENU IKO PROUD NA NYINYI. KUBALINI WITH PRIDE, MAJINA YOTE MNAYOPEWA NA WAUWAJI WA OCTOBER 29.
Jueni kuwa nyinyi sio wapigania haki wa kwanza kuwa demonized na serikali kama hii serikali haram, serikali ya 6 ya TANZANIA.
South Africa, activists na wadai haki waliitwa “trouble makers” na “magaidi” , Kina Mandela walikaa jela miaka karibia 30 sababu walikuwa labeled magaidi na wahalifu wanaoharibu amani ya South Africa. Mwisho wa siku gaidi wa South Africa, akawa Rais wa South Africa.
Hapa Marekani Martin Luther King alikamatwa na kufungwa mara karibia 30 ,serikali ya Marekani ikidai ni mhalifu na anataka kuharibu amani ya Marekani. Leo nchi ya Marekani ina sikukuu ya Martin Luther King day. Yule mhalifu alietaka kuchafua Amani ya Marekani leo ana sikukuu yake Marekani. Siku ya Martin Luther King Day,kila mtu serikalini anakaa nyumbani na kumkumbuka kwa kazi yake ya kudai haki ya watu weusi Marekani. Na sisi wanaharakati wa Tz kuna siku tutaheshimika, although leo sisi ni magaidi.
Tusiende mbali, kabla ya katiba mpya kupatikana Kenya, wanaodai haki na activitists waliitwa majina yooote mabaya na serikali ya Kenya, mpaka wakaitwa “‘maadui wa maendeleo”. Leo Kenya inaongoza kwa haki na demokrasia East Africa Nzima. (Though Ruto anataka kuwaletea ungese wa Samia). They are not 100% there but they are almost there.Kenya is doing better in democracy than entire East Africa or maybe entire Africa, after SA.
My point is, wanaharakati wa Tz leo tutaitwa wahalifu na magaidi ila naomba muamini kuwa mkiendelea kupigana kuna siku serikali mpya ya Tz itawavalisha medali za ushujaaa. KEEP FIGHTING!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watanzania tusikubali Lissu akae jela muda mrefu ili Tz ipate haki. This is 2026, there are way more tools and technology to help LISSU TODAY THAN THERE WAS BACK IN THE DAY TO HELP MANDELA.
TANZANIA, TUKO HAPA TULIPO ILI TU FAMILIA 2 ziendeleee kuinyonya Tanzania, FAMILIA YA KIKWETE NA FAMILIA YA SAMIA SULUHU!!! Shame on jeshi la polisi na MOMBO- (USALAMA WA TAIFA) Hivi vyombo viwili ndio vinavyoruhusu familia hizi 2 kuharibu nchi!!!!!!
I think tuwe makini na jinsi tunavyoitisha haya maandamano ili yasizoeleke.
Unless kama yatatokea tu bila kupangwa, ila haya maandamano ya kuitishwa wanaharakati, we have to be very careful.
Tuta dilute our own power ya kuitisha maandamano……. Na tukishaipoteza hii power ni tatizo…… WE HAVE TO USE THIS POWER VERY CAREFULLY.
I think kwa sasa wanaharakati tufanye kazi ya kuelimisha wananchi umuhimu wa maandamano ya kutokea bila kupangwa, yani umuhimu wa maandamano ya kulipuka ghafla bin vuup. Tupeleke nguvu huku, tuwafundishe wananchi jinsi ya kuandamana ghafla kabla Serikali haram haijajipanga kuzuia maandamano.
Then tutumie muda huu kupanga kwa umakini mkubwa na a lot of groundwork ifanyike ili tufanikishe maandamano ya AFCON!!! Hakuna maandamano yatakayotusogeza kama maandamano ya AFCON!!!! Unless Mungu ajalie hapo kati yatokee maandamano ya ghafla. Ila mi naona Tupeleke nguvu kupanga maandamano ya kihistoria ya AFCON 2027.
Anyway, hayo ni mawazo yangu tu, nyinyi mnaonaje?
Hakuna investor mwenye akili timamu atawekeza project kubwa hivi kwenye nchi ambayo ni lawless na Rais kaua watu ili awe ikulu……. Nchi ambayo mahakama zinaongozwa na Ikulu, polisi inaongozwa na Ikulu, bunge linaongozwa na Ikulu….. Nchi haingozwi kwa sheria ila inaongozwa kwa matakwa ya mtu mmoja na washirika wake. Hapo ni mwendo wa uwekezaji wa kuiba viwanja vya wazi na kufungua showroom za magari.