Into the AFCON U17 semis:
โข Tanzania ๐น๐ฟ
โข
โข
Tanzania, the first nation to book their spot, now among the final four as the road to the title heats up in Morocco.
Three more places..
#AFCONwithMicky#AfricanFootball
Uadilifu na kujiheshimu ni tunu kubwa sana! Pale mtu mzima unapojitoa ufahamu, ukakosa haya hata kuuza utu wako kwa vipande thelathini vya fedha kama Yuda Iskariote, unakuwa umejidhalilisha na kupoteza hadhi yako. Je, kweli unapata usingizi wa amani?
Friends of Bournemouth mumekua wengi but by saa kumi mtakua mnalia vile everyone hates Arsenal ju tutakua tuna celebrate ushindi enye itatueka karibu na okombe
Watu wengi hawazuiliwi na hofu, wanazuiliwa na mazoea.
Ukirudia jambo mara nyingi, linakuwa kawaida , hata kama linakuumiza, linakudidimiza, au linakunyima ukuaji. Uhuru huanza pale unapothubutu kuvunja ulichozoea.
Kwenye hili Taifa kuna watu wengi wenye mawazo mengi yenye tija sana na maslahi mapana kwa wananchi;
Kitu chakushangaza huwa wanageuzwa kuwa maadui wa maendeleo ili hali walio maadui ndio huonekana wenye tija na mifano mizuri
Swala la afya limewafanya watu wengi kuingia kwenye dimbwi la umaskini mkubwa mno, na limekuwa tatizo na mwiba mchungu sana kwa watu wenye kipato cha Chini na wale wa kipato cha kati.
Ni ajabu Wanasiasa wetu, hulitumia kupata kura tu na kuendelea na mambo yao.
Wazo la kuwa na Bima ya afya kwa wote na likafanyika bila shida kabsa inawezekana kiwepesi sana.
Ikiwa tu kweli maslahi yatakuwa yakitaifa (wananchi) hili linawezekana sana, na uwezekano wake unahitaji kulindwa kwa wivu mkubwa sana wakisheria na sio maneno ya wanasiasa