Hebu ona wachezaji wenzake wanavyomuamini katika maeneo hatarishi sana
1: Angalia line yao ya ulinzi ilivyo juu ( meaning wachezaji wapo karibu karibu easy to play and you defend small distance baada ya kupoteza mpira )
2: Angalia aina ya partners wake katikati ( wana sifa gani )
✍🏻Profiling
✍🏻Environment
✍🏻Coaching
Arsenal ni moja ya timu nzuri sana wakiwa wanafanya pressing lakini ona hapo , wanachagua nyakati za kwenda kwake na kwa makini sana . Mara nyingi they dont even bother pressing him .
Wanajua he will pick them off
Washington Spirit confirm Clara Luvanga has joined from Al-Nassr on a four-year contract.
Understand the fee is a world-record women’s transfer that is close to $2m.🇹🇿
🚨 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 - Peter Shalulile 🇳🇦 yupo kwenye hatua za mwisho za kujiunga na Young Africans 🔰 kama mchezaji huru baada ya kuachana na Mamelodi Sundowns 🇿🇦
⏳ The deal is very close.