Medical student|
Vice chairman @TAMSA_HKMU.
Founder & Director of operations #Hema salama-Maisha ni pumzi health campaign & tamsa hkmu league|
Sportsperson ๐
Mapema jana,nilipata wasaa wa kukutana na kuzungumza na kaka yangu @KombaJustice pamoja na maswala mtambuka tuliyo jadili, tumedhamiria kujenga na kuboresha uhusiano wetu wa kindugu na kijamaa.
Uhusiano huu ni mtaji kwa kesho ya kila mmoja wetu.
Nawatakia kila la kheri wanafunzi wa diploma in nursing, MD4 na MD5 katika mitihani yao ya mwisho inayotarajia kuanza mapema kesho.
Yeye muumba akawafanye vichwa na wala sio mikia.
Serikali yangu imejipanga vyema katk kuandaa mazingira bora ili mitihani hiyo muifanye kwa amani.
Nimesikiliza kwa makin debate kuhus baraza la mawazir...kwa mara ya kwanza na admit teuzi zilikua ngumu kuliko uchaguzi wenyewe.
Kwa walio pata nafas wazitendee haki
Tutawajibishan itakapo bidi na si kwa ubaya bali ni kwakujenga.
Nimefarijika sana baada ya taasisi ya hema salama kutajwa kuelekea fainali ya leo, nafaham match haijaanza ila natambua umuhim wa wanamichez ktk kufanikish na kusukum kampeni hii.... kam kiongz wa taasis hii ijumaa ijayo nitakabidhi mbuzi na kreti 2 kwa bingwa.@ayoubdaffa_
Leo, tunasherehekea mchango usioweza kusahaulika wa wanawake katika tiba. Kutoka kwa watafiti wa kwanza hadi walezi wenye huruma, wanawake wanatangulia katika huduma za afya. Tuheshimu mafanikio yao na tuwekezwe kusaidia usawa wa kijinsia katika tiba na zaidi! #IWD2024
Sincere thanks to all TAMSANIANS, my fellow leaders and my chapter members. As the chairperson, i promise to perform my duties with the highest sincerity and cooperation. Thank you for trusting me and i hope that all that will be done aligns with our values.
Elimu bora ndio funguo ya kufungua milango ya fursa na kuwasaidia kufikia uwezo wao kamili._
*Magonjwa ya kuambukiza ni mojawapo wa adui wa ndoto za watoto wengi, ambapo wengine hukaa muda mrefu bila kuhudhuria vipindi darasani na wengine kushindwa kabisa
#Elimu bora
#Afya bora
Its that time of the year for TAMSA CUHAS and Mwanzaโค๏ธ. ANZA MWAKA KWA KUJUA AFYA YAKO, a campaign aimed at screening non communicable diseases in Mwanza.
27/01/2024 thats the date.
This is the tweet๐ฏ.
Yesterday at the commandant's office, Dar es salaam police college kurasini.
From left The dean of students,chairperson Tamsa hkmu, commandant Dkt. Lazaro mambosasa (SACP),Director of operations Hema salama and general secretary Uvccm kairuki.
Ready to educate.
Nimefurah kukutana na mwenyekiti wa KHEN(KAIRUKI HOSPITAL AND EDUCATION NETWORK) Mama kokushubira Kairuki ofisini kwake mapema leo.
Pamoja na nasaha zake kwangu,Amenipongeza kwa jitihada za kampeni hii huku akisisitiza tija katika utekelezaji wa matukio kwamafaa mapana ya taasisi