@Baraza_Kuu Umeandika ushuzi tu na wajinga wengi watakusapot ila mtu anaejielewa hawez kuamini upuuzi wenu,Mali za watanganyika zinawekwa bond na pesa zake zinaliwa kw ufisad unahangaika na Marumange?kwamba hatujui sas kuw uchaguz ni uzushi tu??
@Dr_DGwajima@tanpol@wizara_elimuTz Bi mkubwa umezingua sana si ungesema huyu Marry ajisalimishe kituo chochote kilichokaribu yake,hizi mambo mkiw wanawake mnakaushiana lkn angekuwa kafnya mwanaume mngeandamana apa
@thomas_yona_ Africana chin njia ya kwenda juliana,juu njia ya kwenda kwa ubarikiwe na Salasala magengeni,mbele kituo ni rafia kama unaenda tegeta kurud ni Jogoo,enter chick na makonde kama mnabisha kumamazenu
@_itsmalume Punguza wivu dogo Kaza maisha hayataki upoteze muda kumfatilia mwenzio hvoo,huyu ni Dish long time ile haina haja kutuaminisha hivi ni uduanzi tu na kukosa cha kufanya
@hadithimswahili Hili stori la kikuma kumamake mtu unasoma unakasirika kama kwel vile sema nini usilikatize linaonekana zuri sana afu kuna mwana yupo mwanza linaenda na hstria yke sana
Wanangu Tusijimalize sana December hii
Mkumbuke kuna Relationship za Bei nafuu Kabisa After Xmas na New's
Hasira za kupotezewa vacations za holidays na wakulungwa huwa zinatoa Partners wakudumu kwenye unajimalza hifadhi ata 100k capital inatosha sana wakat sahii bei ipo juu
Maisha yanatukutanisha
Kisha nyakati zinatutofautisha
Mitazamo inatupishanisha.
Hivo tuheshimu yale makutano ktk maisha na nyakati zinapopita tuziheshimu enzi zetu kwan mitazamo ya kila mtu ni kufanya jambo bora tusitengemeze uadui
Tukumbushane
Wakati Fid Q ft Matonya _usinikubali haraka inaibwa ilikua 2007 miaka2 baadae tukatoka Analogue kuingia Digital 2009.
Feeling zina kawaida ya kuzaliwa na kufa Dear ukipata banat ya ku approachiwa afu nafasi ya mtu kwako ipo plz usmzngushe sana
Tupo nje ya muda
Rules no.1 never come back for cheating Girl.
Kuchapiwa inaumiza na haitoki akilin ata usamehe je,kwnza kuna wakat inauma kama imechapwa yko nyie mnawezaje kukausha muendelee eeeh hapana ntadate na dunia ila kurudisha mpra kwa kipa NO.