@Baradhuli2 Aisee huyu hajafika maturity ya kuwa na mke!! Unawezaje kujibu swali kama hili kwa ku priotize tendo la ndoa... ina maana kashindwa kabisa ku m value mke wake kwenye issue nyingine muhimu zaidi ya tendo la ndoa.. tena kaiongea simple sana..
@IdrisaIddyTz Anasoma chuo gani! Pili kwa jinsi anavyoongea ni uvccm mtupu... dhana ya amani na haki kutenganishwa inamfikirisha hata bint yangu wa grade 4... duuu
@RashdaZunde Maandamano hayazuiliwi kwa kusema tu kataa.. ni lazima ujue sababu kwann serikali haitakai reforms wala uchaguzi huru.. yaaan tunakoelekea ndo pabaya na tutakaosababisha nchi iaribike ni sisi wenye uroho wa madaraka bila kujali uwezo na utashi wa wengine kuitumikia nchi
Kwa hii kazi, nimegundua jamaa anachart na huyu kazi kisirisiri, sema mi nipo pembeni kama wasiojulikana.. sasa manzi ya jamaa imerudi toka toilet, nimegundua ni kazi kuliko hili danga! Ndo dk ya 85 congo 0 colombia 1
Kuna scenario inanitokea hapa KB , game ya colombia na congo! Ipo hivi nipo penke yangu counter ila pembeni kuna mshikaji na madem wawil ila wote kazi ila mmoja ndo my favourate, katika hyo kazi inaonekana ni shemeji kwa mshikaji, katk kupambana na mchemsho wa kuku!