@TonnyUnfiltered Si kila ufanyanyi wa ngono kwa wanawake tofauti tofauti ni kupata mikosii au kupata herii..
Inategemea na aina ya mwanamke na nguvu yake ya asili ipoje ,je ipo dhaifu au ipo imara?? Kuna wanamwake wengine ukipit nao tu upepo wa heri unakuwa nao ila Kuna wengine da mikosiii..
@kasesco_tz Mwenye kutambua asili yake Wala hata stajaabu vitu kama hivyo..ila ambao wamefuata asili ambayo sio ya kwao mara nyingi vitu hivi huvipinga sana sana....
@safarimlevi Hahaha, dah ,yani mjinga ndo ataamini hiyo kitu, kwanza atambue kibuyu chenye unganga haswa haikiwi hivyo na kama unganga haswa vizimba vimekamilika heee ..asingethuhutuuu maana kingemkuta kibaya sanaa..