Usipokua makini kwenye Forex unaweza jikuta unacheza komborela.
👇
1st. Step: Study hard to understand the behaviour of the market.
2nd.Step: Have the suitable strategy for executing the market.
SANLAM
Ni mfuko mpya sokoni. kama tulivyoona UTT AMIS FAIDA FUND, TIMIZA FUND sasa tunapata ongezeko la mfuko mwingine wa uwekezaji pamoja unaitwa SANLAM.
Tuone hii SANLAM iko na utofauti upi
UZI
👇
Ielewe SANLAM mfuko mpya sokoni.
Baada ya UTTAMIS,FAIDA FUND,TIMIZA FUND sasa tutakuwa na SANLAM.👇👇
ngoja tuendelee kuchimba zaidi tuone return yao itakuwa asilimia ngapi kwa mwaka.
hii inaleta ushindani mzuri soko la uwekezaji pamoja.
tuendelee kuwekeza ndugu.
Nimeangalia list ya watu matajiri Tanzania hadi nimeogopa.
Top ten list wote ni waarabu au wahindi. Hakuna Rangi nyeusi. Kwa kifupi ni kwamba hakuna mtanzania halisi katika top ten ya matajiri wa TZ.