@Phernomenal1 Sababu hakuna options au uliona options wakti anapiga back passes?
Mbona huzungumzii alizopiga mbele? Au chuki?. Nitafutie kiungo wako mzawa anaeweza kufanya hivi👇
Ila Issa Chole mamae rasmi namuita Busi wa bongo, angalia anavyoufanya mwili(kiuno) kuupokea mpira ngumu kutabiri wapi anaelekea, angekua kiungo mwingine angegusa mpira mara nyingi ila yeye kaubembeleza na mguu wa kulia ikampa nafasi ya kuendeleza.
Anachukua huku anatupa kule🤌
Elieneza kapanda vizuri muundo wa kiuzuiaji, 4-2-3-1. Lengo kutengeneza uwiano sawa wa idadi kwenye kiungo
(3v3) "Dismas juu vs Sadio, alafu Chenga vs Faye na Chole vs Sow chini"
Mbengelendi&Sadam dhidi ya FBs.
Wazuri kuwania mipira, wana kasi kushambulia baada ya kupoka mpira
Kitu cha mwisho kwa Serengeti ni target man wao "Luqman" aboreshe 1st touches zake.
Dismas awe muangarifu na runs za Sow(LCM) ndie kiunganishi upande wa kushoto wa Senegal, Chenga nae aendelee alipoishia kumsadia beki wake (Idrissa) pia dhidi ya Faye (threat).
🚨💣 EXCLUSIVE: Denzel Dumfries to Real Madrid, HERE WE GO! ⚪️🇳🇱
Deal in place and all agreed with Dutch right back to join Real Madrid from Inter, Spanish club will trigger €20m release clause.
Dumfries has accepted Madrid, deal closed tonight and formal steps to follow.