@privaldinho@anuskills3 Nataka niwaeleweshe wachambuzi wenzako kina jemedari said na wilson oruma mzee wa KIJAMBIO jambo lifuatalo,
1.Kama Yanga atachukua UBINGWA wa LIGI KUU msimu huu, na nina imani atachukua, MVP wa ligi kuu msimu huu ni lazima awe ALLAN OKELLO, Narudia MVP ni OKELLO
1.
1.Kama
@FKihamu Nikukumbushe tuu kuwa hawa ndo BODI YA WADHAMINI wa YANGA ambao watakua Wanashtaki na kudili na WACHAMBUZI kenge kama ww na yule mwenzio ORUMA
1.MWIGULU(Waziri mkuu)
2.Mama karume(Mke wa rais)
3.Mkuchika(wazir mstaafu)
4.Mavunde( Waziri)
5.Tarimba(Mbunge)
Si mmewagomea msamaha?
@YoungAfricansSC Ni YEYEEE!!!
1.Kwa nini admini hukuweka picha ya PACOME akiwa ameukalia mpira kama LAMINE YAMAL!! ina maana hamkuona???
2.Kwa Tanzania kuna WANANCHI YANGA na ulaya kuna THE CITIZEN man city....Hizi timu hasa huu mzunguko wa pili tofaut yake kwa sasa ni NDOGO sana, ndogo Mnoo!
@iam_saii1206@Sativa255 Bado akili hauna, ww lengo si upate hela yako yote MILION 28????
.Au hujaona hesabu hapo za kupata milion 28 ambayo iko na Advantage mara mbili??
Kwamba hukosi vyote???
Iki boom inatoa jumla 28 na ile 3 ulosave
Ikilost kama hivyo unabaki na ile ulosave M 3,
Huekew nn apo??
@iam_saii1206@Sativa255 Unashangaa nn sasa, mbona hata hiyo milion 3 hajaipata??? wewe si unatamaa ya milion 28, sasa hiyo sretegy ndo nimekupa ambayo sio ya mtaka yote kwa pupa, hutoki patupu, faida ni mara 6 ya stake yako ya laki 5
@George_Ambangil We mchambuzi wa wapi ww, kufungwa kwa liverpool na chelsea ndo imekuja KUIPA THAMANI ile point moja tuliyopata,
ingechoma kama pasi liva au chelsea angeshinda afu sisi tuwe na ile sare,
UMEELEWA..
so ile point moja imepanda thamani bada ya matokeo ya jana ndugu MCHA-MBUZI!!
@MinisterMselem@YoungAfricansSC Uko sahihi asilimia mia, yule kocha alikua ni kama baba anaewapenda watoto wake, alikua anawapenda wachezaji sana na ukimya wake viongozi wetu HAWAKUMPENDA, wao walitaka kocha mwenye VIBE stail za ramovicb sasa yule mzee hayakua mambo yake,yy ni mzee wa kufukuza mwiz kimya kimya
@YoungAfricansSC Hawa majeruhi kwa sasa hawana umihimu sana kwa hizi mechi ndogo ndogo, hizi watafunga hata kina shekhani,
Cha muhimu watibiwe warudi imara zaidi kabla ya mechi kubwa zinazokuja za kuamua Ubingwa
Mpk sasa tuna nafasi ya kuchukua kombe la ligi UNBEATEN muhimu wachezaji wakaze