"Mafanikio ni habati, lakini kadri unavyojituma kwenye ubunifu , kutafuta maarifa,uthubutu,uvumilivu na kumwamini Mungu,ndivyo bahati yako inaongezeka ".Ruge Mutahaba
Watu wengi hasa marafiki, wanapenda wakuone ktk mafanikio.Ukianguka ktk mafanikio,utapoteza mvuto na thamani kiasi kwamba utaitwa hata tapeli, kumbe labda ndio muda wako unajitafuta ufanikiwe.