Watu wanapitia mengi sana ambayo hatuyaoni wala hawatuonyeshi usoni mwetu. Ukiwakuta watu wanafurahi ama kushangilia mafanikio yao hata kama ni madogo, ama ungana nao kushangilia, au wapishe washangilie. Kama wewe si sehemu ya maumivu yao, usilazimishe kuwa sehemu ya furaha yao.
Consistency ya Maombi yao kwetu baraka zinawafikia mpaka wao.
Mama SATIVA na Mama Taivina mtakutana nao Road huko msisite kuwapa msaada wakikwama barabarani.🙏