@John_Pambalu Maccm c ndiyo kawaida yao kuikanyaga katiba na kutofuata taratibu, hatushangai walichokifanya, lakini siku zote mtu anapokaribia kukata roho huwa anatapa tapa sana, ndiyo ccm sasa, iko ukingoni, October kinakata roho tunakizika
@Mtumtitu@IAMartin_ Mwalim na wewe tena? Nyie siyo mlioridhishwa na serikali ya Samia mpaka mkamchangia milion 3 za kuchukulia form, unalalamika nini tena? Nyie ndiyo mnaoimba nyimbo ya miaka 5 tena, sasa imekuwaje? Tulia na hako kamshahara kako mwalim
@JulianaMbowe Hata hakuwa na impact yoyote kwenye chama chetu, hata hatushtuki kuondoka kwake, na waondoke tu ili tujuane makamanda wa kweli, mboga mboga ziende kwa mboga mbonga nyenzake
@EsirEid Issue siyo ukubwa wa vyeo sijui nini, issue ni, mnaombea nini, haki au ufisadi? Hakuna kitu hapo zaidi ya maonyesho tu. Kama utumishi wa MUNGU ndiyo huo, Noooo
@millardayo Mbona na injini yenyewe choka mbaya, inatoa moshi utadhani mlipuko wa bomu, utasemaje ccm itatawala mpaka Yesu atakaporudi na wakati huo huo unaimba wimbo wa uchaguzi kuwa huru na wazi? Utasema injini iko sawa hapo? Umechoka mzee, akili imevia pumzika
@GillyBonnyTv Njaa hii jamani ni shida, mtu unajiondoa ufahamu na utu wako kweli kwa namna hii kweli?!! Siamini katika manabii wa Tanzania na Mungu anisamehe kama wapo
@1ngadu1 Utakufa wewe kwanza kabla ya Chdema, yaani mnaoombea Chadema ife kwa sababu Lisu ndiye Mwenyekiti mtasubiri sana na mtakufa nyie Chadema mtaiacha
@ChiefLumanyika @ExMayorUbungo Achana naye, c ni huyu alimwambia Lisu kuwa anaweza akahama chama, basi yeye kama hamkubali Lisu mpaka kesho ahame yeye sasa maana asiyempenda kaja, ndiye mwenyekiti kwa sasa
@MakeynovelsInc Asichokijua huyu mzee ni hiki kwamba walio kinyume na ccm siyo wa Tanzania ndiyo maana wakati wanadai uhuru eti walikuwa wapi, akina nani? Badala ya kupumzika na wajukuu yeye anaongea nonsense
@Jambotv_ Nyie imbeni ngonjela zenu hizo, mmepitwa na wakati, mnadhani tutaendelea na mikakati ile ile miaka yote? Tunajua hamuwezi kutoka madarakani kwa njia sahihi, safari hii tunaenda na nyie sambamba mpaka mwisho
@EduTalkTz Eti ni mwanachuo?! Sijui ni chuo gani hicho kimezalisha poyoyo hii, hoja yake dhaifu mno halafu anajidai ni mwanachuo, sijui ni certificate au nini sijui
@Advocate_Jebra Wanachuo? Kuna wanachuo siku hizi? Kuna wahudhuriaji vyuoni. Lini uliona vyuo vikuu sasa hivi kuna mijadala ya kufikirisha akili? Vyuo vikuu sasa hivi ni sehemu ya kupiga siasa na vijana kujifundisha uchawa kama hao vijana wanaopinga no reform no election, hatuna vijana nchi hii