Shukrani Za dhati zimeende Mama Yetu Kipenzi wakuitwa #BEATRICE_MANYIKA Kwa kutulea katika mAadili mazuri ya kumpendeza bwana usoni mwake Sina maneno mengi ya kusema zaidi ya Kukupenda sana. #HAPPY_BIRTH_DAY To Us Twins, Mungu atujalie umri mrefu wa kuishi hapa duniani.