@ayubu_madenge Ndivyo itakavyokuwa siku CDM wakichukua nchi. Kila mmoja atakuwa CDM, asilimia kubwa ya wananchi hawapendezw na yanayofanywa na serikal kupitia ccm na hata hao ccm wenyew wengi wao pia wanakubaliana na hilo. Waliobak wote wanasapot kwa maslah yao binafsi.
Arsenal anatwaa Ubingwa baada ya miaka 22 kupita Alijaribu mara kadhaa lakini hakufanikiwa, na aliitwa majina mengi kama wazee wa kufeli n.k Hakukataa tamaa aliendelea kupambana, Hatimaye ametwaa Ubingwa,Tusichoke kupambania ndoto zetu pamoja na changamoto zote ipo siku tutafankw
Baada ya miaka 20 kupita @Arsenal anaingia tena Final ya @ChampionsLeague. Mara ya mwisho alicheza Final 2006 Vs @FCBarcelona
Toka msimu huu kuanza 2025-2026 Arsenal hawajapoteza mchezo wowote wa UCL. Wins 11 draws 3 Losses 0 (Unbeaten)🔥
@CAF_Media Hatua hii inapaswa kukataliwa na mashirikisho yote ya mpira wa miguu ktk bara letu la Africa, kwan ktk karne hii ambapo mpira wa miguu unazidi kukua siku hadi siku maamuz haya yanaonekana kuwa ya hovyo kabsa kuwahi kutokea, NI AIBU KUBWA MNO KWA MPIRA WA AFRICA, @Tanfootball
Hatua hii inapaswa kukataliwa na mashirikisho yote ya mpira wa miguu ktk bara letu la Africa, kwan ktk karne hii ambapo mpira wa miguu unazidi kukua siku hadi siku maamuz haya yanaonekana kuwa ya hovyo kabsa kuwahi kutokea, NI AIBU KUBWA MNO KWA MPIRA WA AFRICA, @Tanfootball
Le Jury d’Appel de la Confédération Africaine de Football (CAF) a décidé, en application de l’article 84 du Règlement de la Coupe d’Afrique des Nations (CAN), de déclarer l’équipe nationale du Sénégal forfait lors de la finale de la TotalEnergies CAF Coupe d’Afrique des Nations Maroc 2025 (« le Match »), le résultat étant homologué sur le score de 3-0 en faveur de la Fédération Royale Marocaine de Football (FRMF).
https://t.co/YFNlXVaeRf
TUZO ZA TFF | MVP NBCPL
Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 ni Stephane Aziz Ki wa Yanga…… Cheki alivyopokea tuzo yake na kila kitu walichozungumza akiwa na Hamisa Mobeto baada ya kupigwa ‘surprise’ ya Dubai.
Ni hafla ya tuzo za TFF kwenye ukumbi wa The Dome, Dar es Salaam LIVE #AzamSports1HD
#TFFAwards2024 #TuzoZaTFF #TFFAwards #Tuzo #AzamMedia #SuperDome
🗣️ "THE NIGHT OF HIS LIFE, THE NIGHT OF HIS DREAMS!"
Ademola Lookman is the first player in history to score a hat-trick in a #UELFinal 👏
Xabi Alonso's face says it all..
@IAMartin_@rollymsouth Nmejaribu kunyamanza lkn nmeshindwa!!! Binafsi ktk Hili hapana acha Sheria ichukue mkondo wake!!! Na nyny mnaomtetea nmeshindwa kabisa kuwaelew!!! Kwamba mnataka tuwe na Taifa la namna hii kwel!??? Au nimm tu ndo sielew!!!? Mnanishangaza sna ktk Hili @IAMartin_@ExMayorUbungo
SuperSport will broadcast all 52 matches of the 2023 AFCON 𝐋𝐈𝐕𝐄 📺
The hosts start the tournament on Saturday with a match against Guinea-Bissau ⚽
#TotalEnergiesAFCON2023
Chukua dakika 2 tu kutafakari hili, naamini ni cha wengi wetu KUTOTOBOA KTK MISHE ZETU.
Soma kwa utulivu kisha chukua hatua, iweke kwenye lifestyle yako, utanishukuru baadae.
Hivi utajisikiaje mtoto wako wa kumzaa, anaamka asubuhi bila hata kusema "Shkamoo Baba/Mama?" Alafu anaondoka kwenda kwenye shughuli zake? UTAMPENDA?
Alafu huko akienda na akapata shida yoyote, ndio wa kwanza kukupigia simu kuomba msaada WAKO!
Najua huwezi kumnyima kwa sababu ni mwanao. Na huwezi kumfukuza kwa sababu ni uzao wako. Ila mtakosa BOND YA MAHUSIANO.
Wewe kama mzazi, utakuwa unamfikiria yule anae kuheshimu, anae kupenda, anaejua thamani ya uwepo wako kama mzazi ktk maisha yake.
Na hivyo ndivyo ilivyo kwa MUNGU wetu. Unaamka asubuhi unakurupuka hata kusema maneno machache tu "Ahsante Baba Mungu kwa Uhai siku ya Leo" husemi. Utadhani Uhalali wa Pumzi na Uzima ni wako.
Ukipata changamoto, ndio wa kwanza kumkimbilia Mungu akusaidie. Kweli atakusaidia na anaweza pia asikusaidie ili UJIFUNZE ADABU.
Basi asubuhi hii kabla hujaanza chochote, hata kama umetoka nyumbani tayari, ukifika ofisini chukua hata Dakika chache na kwa UNYENYEKEVU mkubwa, mshukuru kwa ajili ya siku mpya, Muombe akupe nguvu mpya, akupe akili mpya, abariki kazi za mikono yako.
Fanya hivi Kila siku, Mungu atakuwa upande wako kila siku.
Zingatia: Mungu hana Dini, kwahiyo siongelei dini naongelea mtu binafsi na uhusiano wake na Mungu.
GOOD MORNING WITH LOVE OF GOD 🙏🏾