"Tukiwa shuleni ukifanya makosa kati ya adhabu unazopewa ni pamoja na kulima kwa hiyo watu wakawa na mtazamo kwamba kilimo ni sehemu ya adhabu" - Stanley Msungu ( @senatormsungu ) msanii wa maigizo nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete
“Niligombea ubunge nikiwa na milioni ishirini na mbili tu, wakati wengine wanaweka milioni mia tano, lakini nikamaliza uchaguzi nimeshinda na akaubti yangu ina milioni sabini na tisa” - Chanuo Mboni Mhita kwenye Mkutano Mkuu wa Chanuo 2025.
#jambofmtz#AnzaFresh#Chanuo2025
Mwanamke mmoja Mkazi wa kijiji cha Loje,Chamwino - Dodoma ameacha maswali kwa familia baada ya kudai yeye ndiye mzazi wa kike na wa kiume wa watoto hao.
wakati swali hilo likiwa halijajibiwa wazazi wanazidi kuhofia kuhusu hali yake ya kiafya wakitamani asipate tena ujauzito.
“Chama chetu si cha kawaida kama vyama vingine mnavyovijua, chama chetu si cha msimu wala cha uchaguzi tu” Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza kumpokea kwenye ofisi za Chama Mkoa wa Shinyanga.
“Mafanikio ya chanuo kwa mwaka 2024 ndio yamefanya tuje na msimu mwingine wa jukwaa hili la Chanuo kwa mwaka 2025” - Nickson George, Meneja Mkuu wa Jambo Media na Msimamizi wa Chapa, Ubunifu na Mikakati wa Kampuni za Jambo.
#jambofmtz#ChaguaMaishaFresh#AnzaFresh#Chanuo2025
Jeshi la polisi mkoa wa Simiyu limetolea ufafanuzi taarifa inayoenea mitandaoni inayoambatana na picha zinazoonesha gari ya polisi ikiwa imebeba wanachama wa Chama Cha Mapinduzi tukio lililotokea tarehe 22 Machi, 2025.
#jambofmtz#ChaguaMaishaFresh#anzafresh
Kocha Msaidizi wa African Sports ya Jijini Tanga baada ya kupoteza mchezo wa Championship ameungana na maneno ya Bondia Hassan Mwakinyo kuwa watu wa Tanga hawapeani "support" na kuongeza kiwa kinachowatesa timu yake ni ukata.
#Jambofmtz#AnzaFresh#ChaguaMaishaFresh
Una mpango wa kufanya mazungumzo muhimu ambayo hutamani jibu hapana litokee mwisho wa mazungumzo yako? Secret Corner inakusubiri, hakuna mazungumzo yaliwahi kufanyika hapa yakaishia njiani au jibu hapana likatolewa.
#jambofmtz#ChaguaMaishaFresh#AnzaFresh