@ismailhkaranda@MugundaK68723 Shida umezoea siasa za kiini macho na fikra za walalahoi. Siasa za kwanza nipate mimi. Ni bora hicho chama kikafa kabsa kuliko kirudi machame, kimewahadaa watanganyika kwa muda mrefu sana
@thomasjkibwana Wenye uwezo mdogo wengi walisoma h kunani na wengi wakawa waandishi wa habari, ukiwa mwandishi sio kila kitu unajua, ingekuwa busara kabla kupost utafute wajuzi wa uchumi wakujuze mambo ndio uje kuandika. Nadhan hujaelewa alimaanisha nin kutokana na uwezo mdogo wa akili yako
@YerickoNyerereT Elewa neno lilikuwa akimaanisha kipindibcha alfa na omega ambapo bwana msigwa mlimfanyia zengwe akahamia kwa wale wanaokutumia uendelee kuharibi utawala wa tal
@Mwitah_tz Msimamo wa chama ni no reforms no eleaction, so hakutakuwa na kiongozi wa kusain intention ya kushiriki uchaguzi, hamia Tadea ukagombee huko ubunge..
@YerickoNyerereT Hata wewe ukileta ujinga utafukuzwa uendekwa alfa na omega wenu, katikati ya vita ninyi mnauza ramani ya vita,. Hata wewe usiposukuma kete kwa uangalifu utafukwa uende Tadea
@Labella_Mafia95 @Varstar_77 Ajende ibitishwe kamat kuu, ipitishwe baraza kuu, na mwisho ipitishwe mkutano mkuu ambao pia walishiriki, alafu useme makubaliano ya wachache? Sasa ni democrasia gan mnazungumzia ambayo haiheshimu maamuzi ya vikao. Hao ni wasaliti tu kwa chama chao.
@Labella_Mafia95 Acha ujinga democrasia ni kupinga maamuzi ambayo ukishiriki vikao vyake vyote na mkakubaliana, huu wanaofanya ni uhuni/usaliti, kama wanataka kutoa maoni tofauti wafuate njia ile ile iliyotumika kupitisha hiyo ajenda yao ya no reform, no election.