Habari za muda huu Wafalme,
Mwezi mwingine, tukiwa na malengo yale yale ya afya.
Chochote ulichofanya jana hakina maana leo.
Septemba imepita,
Oktoba imefika.
Kaa katika hali ya Leo na sio Jana.
Huu sio mwezi wa kuzungumza. Ni mwezi wa kufanya.
Epuka kusitasita na kuahirisha vitu.
Anza pale ulipo na endelea kuboresha kila siku.
Heri ya Mwezi Mpya.
𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬
"Kwanza kabisa napenda kusema 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄 𝐒𝐀𝐍𝐀 kwa Mashabiki wetu hapa Kigoma, mapokezi tuliyopata leo kutoka Uwanja wa Ndege mpaka hotelini sijaamini! hii inaonyesha ukubwa na upendo wa Mashabiki kwa Young Africans SC" Kocha Mkuu Miguel Gamondi
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
"Tumejiandaa vizuri na mchezo wa kesho na tunafahamu utakuwa mchezo mgumu, sisi tunahitaji alama 3 na najua na Mashujaa na wao wana uhitaji mkubwa na alama hizi.
Lakini ili tuwe mabingwa ni muhimu kupata alama 3 kwenye kila mchezo tunaocheza" Miguel Gamondi
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko