@TZMsemajiMkuu Msheshimiwaa! Kwa ninii magari ya mwendo kasi yanalalaa Mapemaa?! SAA mbill tuu barabaran Hayapoo. Asubuhii nii hadii saa kumii na mbilii ndio utayaonaaaa..
@eastafricatv Siasa hazina tofauti na mapenzi. Sikusikia huyu jamaa karudisha kadi ya watu/CCM" sikusikiaa kakabidhiwaa kadii ya Chademaa. Jamaaaaniiii,;
@JMhagama1@jaNeth J. Unanifurahisha Sana'a.Mwanaume kutudanganya huwa tunajua sana kama hapa nadanganywa. Maana huwezi kunitongaza siku mojaa na kunipata sikuu hiyohioyo.