SIKIA MKUU MAMBO YASIWE MENGI
🎤 Kama una mahusiano huyaeleweki
🎤 Kama una madeni kila kona, kama unahisi kuna plan mbaya juu yako na unataka kuijua
CHEZA NA HIZI CODE HAPA.
🧵FUNGUA UZI MFUPI 👇🏿
5 Natural Ways to ELIMINATE Erectile Dysfunction (ED) for Good and Last Longer In Bed.
(Most men learn this too late...)
1. Cut Out Porn (It’s Destroying Your Brain & D!ck
‼️🚨UTARATIBU WA SERIKALI YA MPITO‼️
Tumetafakari kwa umakini na tumeazimia ✊🏽
👉🏽 Sisi Wananchi wa Tanzania tunasisitiza kwamba hakukuwa na uchaguzi uliofanyika nchini Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025 hivyo hadi sasa hakuna utawala
Tanzania (1977).
👉🏽 Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inaelekeza kuwa Wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa Katiba hii;
👉🏽 Sisi Wananchi wa Tanzania tumeazimia kurudisha mamlaka ya kiutawala mikononi mwetu kwa kutumia Katiba yetu. Hivyo basi ili kuhakikisha tunakuwa na utawala wa wananchi, kutoka kwawananchi na kwa manufaa ya wananchi, tunaazimia kuuunda Serikali ya Mpito
👉🏽 Serikali ya Mpito itaundwa na wajumbe wasiopungua kumi na tatu (13) na wasiozidi kumi na tano (15) wenye uadilifu, walio huru, wanaoamini kwenye misingi ya haki, demokrasia na wenye kuheshimu Katiba.
👉🏽 Ifahamike kwamba wale wote watakaoshiriki kama wajumbe wa Serikali ya Mpito hawataruhusiwa kushiriki kwenye nafasi yoyote ya uongozi (wa kuchaguliwa au kuteuliwa) baada ya kukamilisha kazi waliyopangiwa kwa kipindi chote cha maisha yao.
👉🏽 Serikali ya Mpito itakabidhiwa muongozo maalum utakaozingatia misingi ya kikatiba, utawala wa sheria na ulinzi wa haki za binadamu katika kutekeleza majukumu yake.
👉🏽 Hivyo mchakato wa kupata Serikali ya Mpito utaanza kupitia Mkutano Mkuu wa
Kitaifa wa kujadili Haki, Uhuru, Usawa, Uwajibikaji na Ukweli kwa Tanzania Mpya.
👉🏽 Katika kujenga uimara na usimamizi wa Serikali ya Mpito, kutakuwa na Kamati maalum ya Ushauri itakayoundwa na wawakilishi kutoka Jumuiya ya Madola
(Commonwealth), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU) ikijumuisha Marais wastaafu na viongozi wenye haiba katika utawala
bora.
👉🏽 Hivyo basi, Sisi Wananchi wa Tanzania tunatangaza rasmi maandamano ya amani yasiyo na kikomo katika maeneo yote ya Tanganyika kuanzia Jumanne tarehe 9 Disemba 2025 kama hatua ya mwanzo ya mchakato wa kuunda Serikali ya Mpito inayoongozwa na wananchi wenyewe.
👉🏽 Tunatambua madhila haya ya mauaji yanahusu eneo lote la Tanganyika hivyo tunawaelekeza watawala
wasiendeleze umwagaji damu zaidi. Zanzibar ni jirani mwema tusiyependa kugombana naye.
👉🏽 Kwa sauti moja Sisi Wananchi wa Tanzania tunakataa utawala huu dhalimu wa kisultani na utawala wowote usioheshimu misingi ya Katiba na Sheria. Na kuanzia sasa iwe mwiko kwa kikundi fulani kupora mamlaka ya wananchi!
#WenyeNchiWananchi #D9 #SamiaMustGo
@JumaAyoo Hapo kikubwa Aman tu mchangie na Kwa harusi naenda maana huwezi jua Nani atakusaidia kipindi cha shida... Pili kukataliwa ni kiepushwa na balaa inawezekana huyo binti ungekuwa na majanga mengi ndoani kwako au penzini.....
🔴Bill Gates aliandaa usahili mkubwa kwaajili ya kumpata meneja mpya
🔴Wakatokea watahiniwa 5000 na wakawekwa kwenye ukumbi mmoja
🔴Mmoja wa watahiniwa hao ni Zebedayo, Muafrika anayeishi Marekani
🔴Bill Gates akawashukuru watu wote waliojitokeza, na akasema "Kama kuna mtu hajui programu ya Java tafadhali aondoke"
🔴Watu 2000 wakaondoka
🔴Zebedayo akawaza "Ni kweli sijui Java lakini nikibakia nitakuwa nimepoteza nini, Ngoja nitajaribu,"
🔴Bill Gates akasema kama kuna mtu hana uzoefu wa kuongoza watu zaidi ya 100 tafadhali ondoka
🔴Watu 2000 wakaondoka
🔴Zebedayo akawaza "ni kweli sijawahi kuwa kiongozi hata wa mtu mmoja, zaidi ya kujiongoza mwenye lakini nikiendelea kubakia nitakosa nini, je nini kitanitokea
Akabakia tena
🔴Bill Gates akasema" Kama unajijua elimu yako hata Diploma ya utawala huna tafadhali ondoka"
🔴Watu 500 wakaondoka
🔴Onyango akawaza tena "Elimu yangu ni darasa la saba, lakini nikiendelea kubakia nitakosa nini" Akaendelea kubakia ndani ya chumba
🔴Mwishowe Bill Gates akasema "kama hujui lugha ya Serbia kwa ufasaha tafadhali ondoka"
🔴watu 498 wakaondoka
Onyango akiwaza "Hiyo lugha hata kuisikia sijawahi hata Neno moja sijui, la nikibakia nitakosa nini"
akaamua kubakia na akajikuta wamebakia watu wawili tu
🔴Bill Gates akawasogelea na kuwaambia "Hatimae nimewapata watu niliokuwa nawatafuta watu pekee wenye uzoefu na elimu ninayotaka na vile vile Mnajua kuongeza lugha ya Serbia, Tafadhali sitaki kuwasikia mkiongea lugha hiyo maana naichukia
🔴Taratibu kwa uoga Zebedayo akamnong'oneza Mwezie" Heshima kwako unazo sifa zote hizi hongera kwa kufaulu "
🔴Mwenzake akajibu" sina sifa hata moja nimekomaa tu"
👉Kumbuka Mungu huwaita watu wasio na sifa kisha huwapa sifa hizo
Tafadhali usikate tamaa
Lesson learnt-do not quit