@NashiruMusa18@LifeofSteph_1@Celsius015 Wissa Hana defending ability ya kumkaba Bruno and remember he is cf so he can try but kama Bruno angempita alikua na asilimia kubwa ya kumuacha aendelee mana Hana mentality ya kukaba
@NashiruMusa18@LifeofSteph_1@Celsius015 Beki mwingine na kufanya wenzake waliokabwa mmoja awe free na Mara ngapi Bruno amekua akitengeneza nafasi kwa mchezaji ambae kakabwa na kufanya kama aliekua anakaba hakuwepo ? Uwezo huo anao ila hapo akaamua kuchagua pas ambayo haikua chaguo zuri
@NashiruMusa18@LifeofSteph_1@Celsius015 And ulivyosema Kila mchezaji ana mtu yes Kila mtu ana mtu ila Kwangu Mimi Bruno mbele yake hakukua na mtu zaid ya hao waliokua nyuma na yeye akaamua kupiga nyuma wapinzani waliokaribu Yake walipo na angeweza kwenda mbele na akafanikiwa kuwaacha wanaomfukuzia nyuma angeatract beki
@NashiruMusa18@LifeofSteph_1@Celsius015 Those 2 playes walio karibu na Bruno kimbuka awapo mbele yake wapo nyuma yake ni ether wamake foul ambacho Bruno ni strength yake kutengeneza foul play pia he is good at passing why apige back pass eneo la kati kati liko wazi refa sio mpinzani hapo tayar mabek hawapo katika eneo
@NashiruMusa18@LifeofSteph_1@Celsius015 Ronaldo anampa pass I think neves nae anaenda kupressiwa na beki mwingine ambae anashindwa kuwin mpira then after this pass kwenda kwa Bruno neves anafanya runs kwenda mbele means uyo bek awezi kumkaba Bruno atakimbia na neves the same alie na Ronaldo na alie na uyo 3rd player
@NashiruMusa18@LifeofSteph_1@Celsius015 And hapa sio baadae ya kupiga back pass hii ni baada ya aliepigiwa pass tayari kashapiga pass nyingine unaona mpira ulipo ? And carrying the ball after receiving the pass walikuwa disorganized so ingekua better option kwa timu the same thing anachosemwa rice but uwezi kubali
@NashiruMusa18@LifeofSteph_1@Celsius015 Sasa baadae ya kupiga back pass wewe kama bek au underdogs ungekua wapi ebu angalia hapa mpira upo mguuni kwake assume asingepga pass nyuma angetembea na mpira and leave those behind him as center back ungefanya Nini ungeendelea kumark wachezaji or ungedelay kumark kwa kuibia ?
@NashiruMusa18@LifeofSteph_1@Celsius015 Alipo kua refa hapo Hilo eneo lote halina mchezaji wa timu pinzani uyo alie nyuma yake labda afanye foul na angeweza kuatract defender kuja kuzuia na kuacha gape kama angeamua kutembea na mpira kwenda mbele