@skyman310@SundayMushi5@angelocane69@FKihamu Ballon d'or itaangaliwa kwa vitu vingi sio magoli na assist tu, mchezaji bora wa Ligi, mchezaji bora wa Uefa, umeisaidia timu yako kuchukua ndoo ngao n.k
sema shida ya mwandishi hapo ni shabiki wa Madrid ndo mana anajaribu kutafta machaka ya kujifariji.
@FKihamu Kigezo sio mataji Anko,, tatizo unauchambua mpira ila hauujui kwa kina.
Unatakiwa uangalie stats za mchezaji binafsi namna alivokuwa muhimu katika kuisaidia club na Taifa lake pia,, hio ndio sababu hata kwanini mwaka jana Messi alishinda Mbele ya Haaland.