Hata Mwaka haujaisha tangu tumetoka kwenye machafuko na mauwaji ya October, hili tukio la kutekwa kwa Djumbe linatokea - kwanini lakini?
Nchi yetu ina tatizo kubwa kuliko hata tunavyofikiria 😞
BODA BODA wa Mbweni heshima yenu wanangu-wamewafukuzia watekaji mpaka wanaimgia nao kwenye kambi ya usalama wa taifa.
Baada ya kuona mnaweza kuwafikia wakaamua kusimamisha gari na wote wakatoka na bunduki kuanza kuwashambulia.
Wakati wote wanawashambulia na nyie mnakimbia huku nyuma mliokoa maisha ya DJUMBE.
MUNGU AWABARIKI WANANGU NA KAZI ZENU NA FAMILIA ZENU.🙏🏾