Hawa wana MTANDAO walikuwa wa MOTO sana nyakati za JK
Mengi alifikia hatua anapambana nao wazi wazi kama hivi Polepole sababu walitaka kumtoa kwenye maslahi yake, kuna wakati walikuwa wanagombania kununua Kilimanjaro Hotel
Wameanza kupingwa vita muda mrefu sio leo tu, sababu wamekuwa hivi kwa muda mrefu na hawana huruma na hili TAIFA
Tuendelee kumuita Polepole Chakubanga, lakini kwa sasa tunatakiwa shirikiana na yoyote anayepiga mishale sahihi, FUTURE tutapambana nayo kwa kadri inavyokuja
mtu asikutanganye eti CCM uwa ina michezo ya kisiasa ni mchezo gani wamewahi fanya zaidi ya kuiba chaguzi WAZIRI wazi ? alipohama Lowasa na Mrema si bado waliiiba uchaguzi kwani walishinda ?
Walishinda lini, hawa wahuni tushirikiane kuwakaba kabali
🚨🇹🇿 There’s growing pressure behind the scenes — a desperate lobby move from a major sponsor preparing to launch a Pay TV platform.
The goal? Secure TV rights once the current TFF leadership is out.
It’s a battle of personal interest. A new media house wants to air football, but as long as Wallace Karia remains TFF President, Azam TV stays. So the push to force him out intensifies.
Crazy stuff. 🤨
#AfricanFootball | #Tanzania | #JusticeForKaria
“Tathmini inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali katika kutekeleza programu na miradi ya maendeleo. Kwa mfano, utafiti uliofanywa na Taasisi ya Afrobarometer mwezi Juni – Julai 2024 ulionesha kuwa asilimia 71 ya wananchi waliohojiwa walisema wanaridhishwa na utendaji wa serikali, na asilimia 70 walisema nchi ipo katika mwelekeo sahihi. Hii inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali yao” - Prof. Kitila.
Sehemu ya hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26, bungeni jijini Dodoma, Alhamisi Juni 12, 2025