Peter Okoye A.K.A Rude boy,
Kwa wabongo, tunamuita Peter wa P.Square
Ameshare kabla na Baada ya kufanyiwa Operation ya kukuza nywele..
Baadhi ya mashabiki wam-tag Davido na kusema kuwa nayeye afanyiwe..
Video kwa Comments π
Al-Hilal wana nia ya kumsajili Darwin NΓΊΓ±ez, huku kocha mkuu Jorge Jesus akitaka kuungana tena na mshambuliaji wake wa zamani wa Benfica.
Liverpool FC wako tayari kumuuza lakini wameweka bei ya Β£85M (Chanzo: Anfield Watch)
Meneja wa habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amezitaja sababu za kuachwa kwa baadhi ya nyota wa klabu hiyo akiwepo mlinda mlango, Aishi Manula.
Dar Es Salaam,
Sikuhizi hapana Heka heka wala nini,
Wananchi wake hawana shida yani!
Kila kitu kimenyooka..
Huoni hata Mkuu wa Mkoa, Anacheza na Simba...πππ
Video kwa Comments π
#UPDATES Baada ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty nchini Kenya, kutoa taarifa za mwanaharakati Maria Sarungi kutekwa na watu watatu wenye silaha akiwa Nairobi nchini Kenya hii leo, tayari amekwishapatikana.
Kupitia ukurasa wake wa X Maria ameandika, "Mungu ni mwema! Nimepambana na ninyi mmepambana, I am now safe many thanks to everyone and I will talk more tomorrow. Nawapenda sana," ameandika
#EastAfricaTV
"Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa ushindi katika mchezo wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League). Mnaendelea kuleta furaha kwa Watanzania huku mkilitangaza vyema jina la nchi yetu kimataifa. Ninawatakia kila la kheri." - Rais Samia Suluhu
Baada ya ushindi wa bao 1 - 0 dhidi ya Al Hilal, Yanga anafanikiwa kuondoka na alama tatu na msimamo wa kundi A unasomeka hivo baada ya mzunguko wa mechi tano, Yanga akiwa nafasi ya tatu kwa alama 7
Mchezo ujao ni dhidi MC ALGER kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
#KishambaUPDATES
Msanii @diamondplatnumz amedokeza kionjo cha wimbo wake wa #Holidayremix ambayo ndani amemshirikisha Rapper @richforever kutoka nchini Marekani.
#Simba ametoa kionjo hicho ikiwa ni siku moja tangu atangaze kuachia album yake mpya ambayo itakuwa ni album ya bongo fleva tupu.
βοΈ @mkogoty
#EastAfricaTV #HainaKuchoka