“Mtu yeyote anayewakataza watu kuzungumza jambo fulani anatengeneza mazingira ya uasi, hivyo ni muhimu watu waachwe huru kuzungumza” Jenerali Ulimwengu. #KwanzaHabari
Hakuna zawadi inayosema nakupenda na nakujali kama muamala wa Ezypesa!!
Mtumie pesa umpendae ujiweke kwenye nafasi ya kuondoka na smartphone wiki hii. Simu thelathini kutoleawa kila wiki na droo kubwa za pesa taslimu kufanyika kila mwezi.
Piga *150*02#
Ni EASY na EAZYPESA.
Usiyempenda kaja!
"Je, Nyerere hakua na uwezo wa kujenga uwanja wa ndege Butiama?
Je, Mkapa hakua na uwezo wa kujenga uwanja wa ndege Masasi?
Je, Kikwete hakua na uwezo wa kujenga uwanja wa ndege Msoga?
Je, Rais ana uwezo wa kununua ndege?
Jibuni haya maswali yetu". #Lissu