KUNA WATU WANAOKUPENDA KWELI HATA UCPO WAPA CHOCHOTE, NA KUNA WALE WANAO KUPENDA KWA AJILI YA VITU VYAKO UNAVYO WAPA AU VITU UNAVYO WAFANYIA KATIKA MAISHA MFANO, KUMPA MTU PESA, KUMSAIDIA ALIPOKUWA KAKWAMA KUMTENDEA WEMA HIVYO HUPELEKEA SABABU YA YEYE KUKUPENDA "USICHANGNYE" π
UNAOGOPA KUWAPOTEZA WATU MAISHANI MWAKO LAKINI HAKUNA ANAE OGOPA KUKUPOTEZA WEWE, UKIPATA MTU ANAEKUPA UTULIVU WA AKILI WE NG'ANG'ANA NAE TU NO MATTER WHAT IT'S, HE GIVES IT TO YOU π
Uongozi wa Simba umeanza mazungumzo na Sporting Lagos FC ya Nigeria ili kupata saini ya winga fundi wa kikosi hicho, Jonathan Alukwu,
Alukwu mwenye miaka 21, anaichezea FC Heart-land (Mkopo) inaelezwa Simba wana jaribu kumshawishi ili a jiunge nao.
Mashabiki wa Yanga wanalalamika kwa nini Mshery haitwi stars anaitwa Ally Salim wakati wote sio makipa namba moja kwenye klabu zao. Yani kweli mnataka kumfananisha Mshery na Ally Salim?
Yanga mko serious? Ally kashacheza game kubwa nyingi ana uzoefu wa kutosha sana kuzidi Mshery
HAKUNA atakae KUPENDA kama huna PESA, mpaka uwe na PESA ndo utawaona wanaokupenda π
Hata MIMI mwenyewe NAJICHUKIA SANA wakati nikiwa sina PESA! π alafu najipenda sana wakati nikiwa na PESA π
DO YOU KNOW?
One testicle (egg) is currently sold at a price of 175,000 dollars, meaning that you are now carrying 350,000 dollars between your feet. Look sharp! π
Updates π
β‘οΈ Elly Sasii ndiye mwamuzi wa kati atakayechezesha mechi ya Kariakoo Derby kati ya Young Africans dhidi ya Simba Sc Agosti 8, 2024 katika dimba la Mkapa
β‘οΈ Ahmed Arajiga atachezesha mechi ya Azam Fc dhidi ya Coastal Union.