@moodewji Janja mnataka kupiga donee mshee uwanja na Nyuma mwiko?
Enewei 🙌 Uwanja wa kolabo ujengwe Kibaha Ili mkizinguana Mashabiki wakose nauli ya kwenda kugawana viti vyao.
@George_Ambangil Ninae Mwanangu very professional fundi rangi
Hayuko humu ila Mawasiliano yake ni +255 744 225 272.
Location ni Dodoma lakini pia anasafiri kote nchini kutegemea na makubaliano 🙏
@MiriamMkanaka Fear of unknown, Mental superiority na kudhani kwamba ukiji expose itashusha thamani yako kama mtu imara (As proclaimed by society in it's general)
Tatu na mwisho kwa umuhimu, Ukilia mbele ya wanaokutegemea utawakatisha tamaa na kuvunja Imani zao juu ya kuamini uwezo wako.
Human to Human
Ukienda sehemu ya ugenini/Ofisi za watu na ukabanwa haja, Ukiingia washroom kabla hujafanya haja yako hakiki kwanza kama kuna circulation ya maji kwenye flashing pipes zao, Utanishukuru kabala hujakumbwa na aibu ya karne 💔🙌