@Sativa255 Hakika tutaendelea kuwa ombaomba ambao tuko programmed na mataifa mwngine.. sahz mtu akienda kufunga mzgo china anaona ufahari Sana wakati anaenufaika ni mzalishaji wao wanaambulia vichenji tu af et ndy wanaojiita matajiri! fuck
@Sativa255 Tunatumia tusichozalisha na tunazalisha tusichotumia" Kuna mafala yatakuja kijigamba kuwa cheni hii nimenunua million 50 c ni machoko! Yanaanza kushindana mtandaoni et dripchek hili taifa 🗑️. Serikali imeshindwa kufanya value addition ya hivi Vito kweli na tukauza nje product
@Sativa255 Chain ya umasikini ndy hii tumeshindwa kuongeza thamani ya dhahabu then tunaiuza na wanaonunua wataleta bidhaa zenye dhahabu kdg na kuuza bei kubwa.. na wanaojiita matajiri wanaonunua mapete ndy hao wanaringishia kuvaa Pete za dhahabu vidoleni💩
@VicentYisambi@nyuki_malkia Kk umetoa jawabu.. class A dunia inaendeshwa na elites na wamemanipulate watu kwa kuwapa fear na hiki ndicho kinatesa Sana watu.. Dini na shule zimechangia kwa kiasi kikubwa na ndy nyenzo zawanaomanipulate. However kanuni znavaki kufanya kaz haijalishi unajua au hujui.