Your calling usiweke kwenye familia. Maana Mungu alikuita wewe ufanye hilo jambo.
Ukiliweka ndani ya watu walio karibu yako, utagombana nao.
Kumbuka binadamu hatufanani, ila tutakutia moyo calling yako . Kamwe Hatuwezi kufanya unavyotaka..
Bwana asema
Wakati na bahati huwapata wote
Kisikuumize kuwa umechelewa kupata, wala kisikuumize kuwa umetumia nguvu kubwa kupata.
Maana , Wa kwanza aweza kuwa wa mwisho, Na wa mwisho anaweza kuwa wa kwanza.
Ila Yote katika yote Neema ya Mungu yakutosha....ππΏππΏ
1 Wafalme 19:7
Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, Inuka, ule; maana safari hii ni kubwa mno kwako.
Kwa tafsiri ya kizazi cha sasa Chakula ni Neno la Mungu, Unapojisikia kusoma sana Neno la Mungu zaidi unavyosomaga tambua unaandaliwa kuingia msimu mpya
1 Wafalme 19:7 SRUV
Malaika wa BWANA akamwendea mara ya pili, akamgusa, akasema, Inuka, ule; maana safari hii ni kubwa mno kwako.
Vitabu vya agano la kale ni taswira/picha ya Lugha ambayo inaishi katika ulimwengu wa roho na huo ulimwenguwa haujafungwa na muda ,
Ukitambua nafasi yako katika kristo Yesu, kuna vita huna haja ya kupigana ,Ni kwa sababu utamaliza nguvu zako bure..., Speak like Jesus with smile π, " wasamehe kwa maana hawajui walitendalo"