@FanuelIddy Hii inasafisha uchafu tumboni ukiona unakunya mafuta tafuta maji baridii sana oga na jimwagie tumboni na mengine kunywa
Ninaposema ya baridi yawe baridi kweli kunywa na frajil vidonge 2 itakata kidogo kidogo
Sema dawa nzuli sana kwa kusafisha mwili
@Dr_DGwajima Ikitokea mtoto katendwa vibaya wananchi wanakuja juu
Leo serikali inakemea ujinga km huu wananchi nao wanapiga kelele eti utani
Tanzania tunahitaji maombi
Baada ya kutoka kijijini Ngarash mkoani Arusha, nimewasili Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika.
Katika mkutano huu, pamoja na mambo mengine tutajadili kuhusu amani na usalama wa nchi zetu, na sera na majawabu kuhusu elimu na ujuzi, ikiwa ni maeneo yanayogusa maisha ya wakazi zaidi ya bilioni moja wa nchi wanachama.
@IAMartin_ Kuna jamaa mmoja aliniona nakula akaomba nikampa matokeo yake nakuja kufatwa na polisi kanishtaki eti nimempa madawa ya kulevya yanayofanana na majani ya chai
@mpambazi Nilifanya kazi apo km muhudumu mwaka 2002 mpaka 2004
Mmiliki mzee mahmud gobe RIP
Wanajuwa biashara ya hotel awajawai kuchuja kwa huduma miaka yote wapo vizuli