Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamtafuta mtu mmoja (jina limehifadhiwa) kwa tuhuma ya kumuua dereva bodaboda, Salumu Ramadhan (40), baada ya dereva huyo kukataa kumpakia kwenye… https://t.co/i2m7QSs2JG
Felix Tshisekedi ameshinda uchaguzi wa urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tume ya uchaguzi imesema.
Matokeo ya awali yanaonyesha mgombea huyo wa upinzani amemshinda mgombea… https://t.co/SJL6WS8G55
Felix Tshisekedi ameshinda uchaguzi wa urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tume ya uchaguzi imesema.
Matokeo ya awali yanaonyesha mgombea huyo wa upinzani amemshinda mgombea… https://t.co/91mzYnREDC
.......IKULU.....
RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMEMTAKA WAZIRI MPYA WA MADINI DOTTO BIKETO KUSIMAMIA VYEMA RASILIMALI ZA MADINI ZILIZOPO NCHINI.
RAIS MAGUFULI AMEYASEMA HAYO… https://t.co/JkAPaju9Sl
"Bila CCM kukubalika kwa umma haina uhalali wa kuongoza taifa hili, inakubalikaje kwa umma...? Kwa kutenda haki kwa wote, kwa kusimamia uwajibikaji ndani ya serikali na ndani ya chama,… https://t.co/NPIDsdQxIY
"Chama chetu kimedhoofishwa na mtindo wa baadhi ya wanachama kuigeuza chama kama chombo chao cha kujitafutia umaarufu au mali kwa maslahi yao binafsi, na inapofika wakati wa uchaguzi… https://t.co/YJhGI38FKx
Wizara ya Afya imepiga marufuku halmashauri nchini kutumia wakandarasi katika ujenzi wa miradi ya sekta za afya na maendeleo ya jamii, badala yake watumie ‘Forced Account’ (kuwahusisha… https://t.co/zNoZtHqonZ
SPIKA NDUGAI KUMLETA KWA PINGU C A G BUNGENI.
.
.
Spika wa Bunge Job Ndugai amemtaka CAG Profesa Mussa Assad kufika mbele ya kamati ya maadili ya Bunge Januari 21, 2019 kwa hiyari… https://t.co/XjsLncO3X0
#Yanayojiri
Jeshi la Gabon limetangaza kupitia redio ya taifa la nchi hiyo kuwa limeiondoa madarakani serikali ya Rais Ali Bongo Ondimba. Bongo ambaye amekuwa Rais wa nchi hiyo tangu 2009,… https://t.co/czCu5kB8Kz
Spika wa Bunge, Job Ndugai (Mb), leo saa 7:00 mchana ataongea na Waandishi wa Habari jijini Dodoma, kuhusu kauli alizosema ni za kudhalilishaji Bunge zilizotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi… https://t.co/3jwEBPZ18y
Klabu ya Inter Milan ya Italy ipo katika hofu ya kuingia katika kibarua Cha kumshawishi Ashley Young kujiunga nao.
Young nyota wa muda mrefu wa Man United anahitajika Na klabu hiyo ya… https://t.co/ZXdvy8irfe
Mkurugenzi Mkuu wa Barrick Gold Corp, Mark Bristow asema wanakusudia kununua hisa za Acacia ambazo hawazimiliki, na kuhakikisha wanatatua mgogoro wa kodi baina ya Acacia na #Tanzania.… https://t.co/iSiFH0pU9D
Rais mstaafu wa Afrika Kusini Jacob Zuma anatarajia kuingia studio hivi karibuni
Lengo ni kurekodi albam ambayo itakuwa na nyimbo za mapambano.
Hayo yanajiri kutokana na uongozi wa mji… https://t.co/F5FGLCnSrl
Waziri Kangi Lugola, leo Jumatano Januari 2, 2019, anaanza ziara Mkoa wa Kagera kwa kutembelea Wilaya zote za Mkoa huo.
Katika ziara hiyo, Lugola atazungumza na wakuu wa vyombo vya… https://t.co/J48K88D70T
Bidhaa zinazostahili kutozwa ushuru wa bidhaa kama vile sigara, mvinyo, pombe kali pamoja na bia zitaanza kutumia rasmi stempu za kielektroniki Januari 2019
Mikoa itakayoanza kutumia… https://t.co/hhCO0fGVxO
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania John Magufuli leo amemjulia hali Mama yake mzazi Bibi. Suzana Magufuli ambaye anapatiwa matibabu Jijini Dar es Salaam tangu miezi mitatu iliyopita… https://t.co/pCSvbait5v
Mwanamuziki maarufu nchini Rwanda Ngabo Medard Jobert maarufu kama Meddy amesitisha ziara yake katika nchi jirani ya Burundi kwa sababu za kiusalama
Mwanamuziki huyo alitarajiwa… https://t.co/xrZUjFZL9i
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo 28 decemba 2018 ametoa muda kwa mifuko ya hifadhi ya jamii kuanza kutumia sheria mpya ya mafao ya kustaafu mpaka mwaka… https://t.co/MHHC1x8OEP