@EngMapundajr Enzi hizo stand ya daladala Jamatini main entrance pale pembeni kulikuwa na mti mkubwa.
Kabla ya kujengwa Chinangali park, enz hizo ndo Ilikuwa Chimbo la kitimoto Named Jacana.
Ukirud Nyuma kidogo Nyerere square ndo Ilikuwa soko mjinga kabla ya majengo sokoni.
@GambaJozen Mkubwa sorry for your phone being hacked, but I'm very sure unaweza kuutimiza Huu mchongo kuwa matumain kwa Sie wenye uhitaji mkuu.
Mkubwa I expect kupokea 500k kukamilisha baadhi ya mahitaji yangu ya Muhimu.
Gamba fanya iwezekane najua iko ndani ya uwezo wako ๐ #Kudos
@GambaJozen Gamba
Mchanganuo ni Hivi;
300k ntafanya utaratibu wa kwenda course ya PSV ili ni renew leseni ili nipate class E nirud Barabaran
100k Budget ya uniform za dogo kwenda school Njanuary
50k sadaka ya shukran Kwa kupokea iyo amount ili Baba aliyejuu auzidishie Ule mkono uliotoa.
Anko we Familia kabisa wewe..,Kabla ya Chemba Squad ,Enzi hizo Dodoma wasanii wakubwa ni Voice Wanda na Keisha.,Meneja wao Akiwa Abdallah Mwaipaya afu tulikuwa Na Makole Hexagon chini ya Mkali Max Bushoke..Noma sana Mjomba.
Ukienda Area C hapo unakuta na Ally Kisigino na Meckson
@EngMapundajr Area C -->Mazich crew alikuwa Alli na Meck
Airport --> DLF member ni Farhan, voice wonder na Meddy mwanyemba (Topsela)
Makole hexagon Alikuwa Ruta max Bushoke, Rama leader na Msabaha
AF kuna miamba Ilikuwa inatokea bahiroad pale
Zamani kidogo..,Kabla ya Ujio wa Club 84 na Maisha Club hapo Makao Makuu ya Nchi.Kabla hata RainBow na Bambalaga hazijafikiriwa..,Enzi hizo DJ's wanatumia Audio Cassetes/Tape na CD Kupiga Mziki,Wajanja Wote Mjini Dodoma Walikuwa wanakutana Hapa.Ilikuwa Noma Sana Enzi Hizo,๐ฅ๐ฅ๐๐ฟ